Loading...

HARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018

Loading...
HARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018
link : HARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018

soma pia


HARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018

Na Baba Faisal

MWENAMUZIKI maarufu kwenye muziki wa kizazi kipya ambaye anafanya kazi zake chini ya Lebo ya WCB Rajab Abdul Kahali a.k.a

Harmonize ameamua kuachia wimbo wake mpya wa Paranawe ambao tayari umeanza kuwa gumzo kwenye vituo mbalimbali vya redio pamoja na mitandao ya kijamii.

Unajua kwanini wimbo huo umeanza kuwa gumzo ?Ukweli ni kwamba licha ya wimbo huo kuwa una siku mbili tangu kuachiwa rasmi na msanii huyo umekuwa gumzo kwasababu Harmonize kupitia wimbo huo amethibitisha yeye ni moja kati ya wasanii bora kutokana na aina ya staili yake anayotumia katika kuimba na nyimbo zake.

Kikubwa ambacho kimeongeza ladha ya wimbo wa Paranawe ni pale ambapo ameamua kumshirikisha Rayvany ambaye kwa hakika sauti yake imefanikiwa kupenya kwenye masikio ya mashabiki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania.Hivyo Harmonize a.k.a Konde Boy ameamua kumpa nafasi Rayvany katika wimbo huo.

Ni jana tu ndio Harmonize ameachia wimbo huo ambao tayari umeshika kasi mtaani.Kama unavyojua tena kwenye bodaboda huko mtaani tayari wameshaweka kwenye flash zao na kilichobaki wanasikiliza mdundo huo wa Paranawe kama sehemu ya kuwa na watu wa kwanza kuusikiliza.


Hivyo makala HARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018

yaani makala yote HARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/harmonize-atoa-paranawe-ya-kufungia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HARMONIZE ATOA PARANAWE YA KUFUNGIA MWAKA WA 2018"

Post a Comment

Loading...