Loading...

SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU

Loading...
SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU
link : SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU

soma pia


SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU

 Naibu  Waziri  wa  Mambo ya  Ndani  ya  Nchi, Mhandisi  Hamad  Masauni, akizungumza  wakati  wa  Hafla  ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika  katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam. Ambapo aliahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Nchi ya Tanzania na Nchi ya Falme za Kiarabu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Makamu wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mohamed Ghalib Bilal akichagua  tiketi ya mchezo wa bahati nasibu iliyoendeshwa  wakati  wa  Hafla  ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika  katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam.
 Naibu  Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi  Hamad Masauni(wapili kulia) na Viongozi wengine wa Ubalozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu wakimkabidhi  Ali Suleiman Ali ,zawadi ya tiketi ya ndege  kwenda nchini Dubai na kurudi baada ya kuibuka mshindi katika bahati nasibu iliyochezeshwa wakati  wa  Hafla  ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika  katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dkt. Mohamed Ghalib Bilal (wapili kushoto), akiongozana  na  Balozi  wa  Nchi  ya  Falme za  Kiarabu hapa  nchini, Khalifa  Abdulrahman  Mohamed  Al- Marzooqi (watatu kushoto), Naibu  Waziri  wa  Mambo  ya  Ndani  ya  Nchi, Mhandisi  Hamad Masauni (wanne  kushoto)  na  wageni  waalikwa   wakitoka  nje  ya  ukumbi  baada  ya kumalizika  Hafla  ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika  katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu ,Khalifa Abdulrahman Mohamed Al- Marzooqi (kulia), baada ya kumalizika kwa Hafla ya  Kusheherekea  miaka  47  ya  Siku  ya  Taifa   la  Nchi  ya  Falme  za   Kiarabu,  lililofanyika  katika  Ubalozi  wa  nchi  hiyo, jijini  Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi



Hivyo makala SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU

yaani makala yote SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/serikali-kuimarisha-uhusiano-na-nchi-ya_6.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI KUIMARISHA UHUSIANO NA NCHI YA FALME ZA KIARABU"

Post a Comment

Loading...