Loading...

Idara ya Uhamiaji Tanzania inaadhimisha Siku ya Wahamaji Kimataifa.

Loading...
Idara ya Uhamiaji Tanzania inaadhimisha Siku ya Wahamaji Kimataifa. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Idara ya Uhamiaji Tanzania inaadhimisha Siku ya Wahamaji Kimataifa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Idara ya Uhamiaji Tanzania inaadhimisha Siku ya Wahamaji Kimataifa.
link : Idara ya Uhamiaji Tanzania inaadhimisha Siku ya Wahamaji Kimataifa.

soma pia


Idara ya Uhamiaji Tanzania inaadhimisha Siku ya Wahamaji Kimataifa.


Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Siku hii ya Kimataifa ya Wahamaji huadhimishwa Duniani kote tarehe 18/12 kila mwaka ikiwa ni kutambua mchango wa Wahamaji katika kukuza uchumi wa nchi za ugeni (horst country) na wanakotoka (origin) kadhalikaa kuheshimu uhuru na haki zao za kibinadamu.

Katika maadhimisho ya Mwaka huu yanapambwa na kauli mbiu isemayo Uhamaji unaozingatia Utu.

Akizungumza na Michuzi Blog Msemaji wa Idara hiyo Ally Mtanda amesema kuwa katika kuadhimisha siku hii, Idara ya Uhamiaji inafanya Maonesho maalum katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kwa kutoa pasipoti za kielektroniki kwa Watanzania.

Aidha, elimu kwa Umma kuhusu Uraia, Viza na Vibali vya Ukaaazi itatolewa. Pia Wananchi watapata fursa ya kujua mafunzo yanayotolewa na Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda Moshi (Tanzania Regional Immigration Training Academy-TRITA)

"Ninawasihi Watanzania, Taasisi, Makampuni na Mashirika mbalimbali kutumia fursa ya maonesho haya kupata huduma zetu kwa kufika wenyewe na kuepeukana na vishoka" Aliongeza Mtanda.

Maadhimisho hayo huanza Desemba 16 na kufikia kilele chake Desemba 17.
 Picha ya pamoja wafanyakazi wa Idara ya Uhamiaji katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wahamaji Duniani yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
Mrakibu Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji Grace Rutachokozibwa akitoa huduma katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wahamaji Duniani yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala Idara ya Uhamiaji Tanzania inaadhimisha Siku ya Wahamaji Kimataifa.

yaani makala yote Idara ya Uhamiaji Tanzania inaadhimisha Siku ya Wahamaji Kimataifa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Idara ya Uhamiaji Tanzania inaadhimisha Siku ya Wahamaji Kimataifa. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/idara-ya-uhamiaji-tanzania-inaadhimisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Idara ya Uhamiaji Tanzania inaadhimisha Siku ya Wahamaji Kimataifa."

Post a Comment

Loading...