Loading...

Shule za Jumuia ya Wazazi (CCM) kufundisha ufugaji nyuki

Loading...
Shule za Jumuia ya Wazazi (CCM) kufundisha ufugaji nyuki - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Shule za Jumuia ya Wazazi (CCM) kufundisha ufugaji nyuki, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Shule za Jumuia ya Wazazi (CCM) kufundisha ufugaji nyuki
link : Shule za Jumuia ya Wazazi (CCM) kufundisha ufugaji nyuki

soma pia


Shule za Jumuia ya Wazazi (CCM) kufundisha ufugaji nyuki

Na Joseph Zablon

Jumuia ya Wazazi (CCM), imeanza kutekeleza mpango wa kutoa elimu ya ufugaji nyuki kibiashara kwa wanafunzi wa shule zote zinazomilikiwa na jumuia hiyo na kwa wananchi wa wilaya zote nchini kwa lengo la kujiimarisha kiuchumi na pia kutoa ajira kwa vijana mara baada ya kuhitimu masomo yao ya sekondari

Akizungumza na waandishi wa habari kufuatia ziara ya hivi karibuni ya kukagua utekelezaji wa mpango huo, Mwenyekiti wa Jumuia hiyo, Dk Edmund Mndolwa alisema ufugaji nyuki licha ya kuwezesha upatikanaji wa asali lakini pia kuna mazao mengi yanayotokana na wadudu hao.

“Tutalenga kwanza kwenye asali ingawa kuna mazao mengi na yenye thamani kubwa kuliko asali” alisema na kuongeza kuwa ameziagiza shule zote 55 za sekondari za wazazi nchi nzima kuhakikisha hadi Aprili 2019 mazao ya kwanza au kabla ya hapo” alisema mwenyekiti huyo.

Alisema anawapongeza viongozi na watendaji wa shule hizo kwa kazi kubwa wanayoifanya kuhakikisha mradi huo unatekelezwa kwani utakuwa na mchango mkubwa katika kuitoa ajira kla vijana,jamii, pato la ndani la Taifa, upatikanaji wa fedha za kigeni, huanzishwaji wa viwanda vidogo na kupunguza umaskini kwa jamii.

Alisema mpango huo ambao ulibuniwa na yeye mwenyewe, ukakubaliwa na kamati ndogo ya baraza, kisha ukapitishwa na Baraza Kuu la Jumuia ya Wazazi Taifa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango mkakati wa kuziendesha shule hizo na kuziimarisha kiuchumi tofauti na ilivyokuwa awali.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi (CCM) Taifa, Dk Edmund Mndolwa (kulia), akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari na wajumbe wa Baraza Kuu la Jumuia hiyo jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kuanza kutekeleza kwa mradi wa mafunzo ya ufugaji nyuki mashuleni kwa shule zinazomilikiwa na jumuia hiyo. Picha na Joseph Zablon.

https://michuzi-matukio.blogspot.com/2018/12/shule-za-jumuia-ya-wazazi-ccm.html



Hivyo makala Shule za Jumuia ya Wazazi (CCM) kufundisha ufugaji nyuki

yaani makala yote Shule za Jumuia ya Wazazi (CCM) kufundisha ufugaji nyuki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Shule za Jumuia ya Wazazi (CCM) kufundisha ufugaji nyuki mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/shule-za-jumuia-ya-wazazi-ccm.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Shule za Jumuia ya Wazazi (CCM) kufundisha ufugaji nyuki"

Post a Comment

Loading...