Loading...
title : JICHO LA MICHUZI BLOG MTAANI LEO
link : JICHO LA MICHUZI BLOG MTAANI LEO
JICHO LA MICHUZI BLOG MTAANI LEO
Bodaboda na waenda kwa miguu wakiwa wamesongamana katika barabara ya mabasi ya mwendo kasi,eneo la Kariakoo jirani na makutano ya barabara ya Msimbazi na Uhuru, jijini Dar es Salaam leo. Hali imekuwa ikileta usumbufu kwa madereva wa mabasi hayo na pia kuchangia ajali za barabarani, zinazotokea mara kwa mara katika eneo hilo. Picha na Joseph Zablon.
Hivyo makala JICHO LA MICHUZI BLOG MTAANI LEO
yaani makala yote JICHO LA MICHUZI BLOG MTAANI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JICHO LA MICHUZI BLOG MTAANI LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/jicho-la-michuzi-blog-mtaani-leo.html
0 Response to "JICHO LA MICHUZI BLOG MTAANI LEO"
Post a Comment