Loading...
title : WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT SALIM ATOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI
link : WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT SALIM ATOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI
WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT SALIM ATOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI
Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) Dr Salim Ahmed Salim leo asubuhi ametembelea ubalozi wa taifa la Marekani kutoa salamu za rambirambi kwa serikali na watu wa Marekani kutokana na msiba wa Rais wa 41 wa taifa hilo Bwana George W. H Bush.
Mheshimiwa Salim ni mmoja wa watanzania wachache waliopata nafasi ya kufanya kazi na kumjua Marehemu Bush Snr wakati Mheshimiwa Salim alipokuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Rais Bush Snr akiwa Mwakilishi wa Kudumu wa Taifa la Marekani .
Moja ya mambo yaliyowakutanisha ni pamoja na harakati na hatimaye tukio la Taifa la China kurejeshewa haki na hadhi yake ya Uanachama wa Umoja wa Mataifa mnamo mwaka 1971.
Pichani Mheshimiwa Salim akipokewa na Kaimu Balozi wa Marekani Bwana Andy Karas na Naibu Kaimu Balozi Bwana Brian Rettmann.
Moja ya mambo yaliyowakutanisha ni pamoja na harakati na hatimaye tukio la Taifa la China kurejeshewa haki na hadhi yake ya Uanachama wa Umoja wa Mataifa mnamo mwaka 1971.
Pichani Mheshimiwa Salim akipokewa na Kaimu Balozi wa Marekani Bwana Andy Karas na Naibu Kaimu Balozi Bwana Brian Rettmann.
Hivyo makala WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT SALIM ATOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI
yaani makala yote WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT SALIM ATOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT SALIM ATOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/waziri-mkuu-mstaafu-dkt-salim-atoa.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT SALIM ATOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI"
Post a Comment