Loading...

Jumia yazindua Ripoti ya Utalii Afrika 2018/2019

Loading...
Jumia yazindua Ripoti ya Utalii Afrika 2018/2019 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jumia yazindua Ripoti ya Utalii Afrika 2018/2019, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jumia yazindua Ripoti ya Utalii Afrika 2018/2019
link : Jumia yazindua Ripoti ya Utalii Afrika 2018/2019

soma pia


Jumia yazindua Ripoti ya Utalii Afrika 2018/2019

Toleo hili la pili la Ripoti ya Utalii Afrika kutoka Jumia inaangazia masuala mbalimbali yaliyotokea barani kwa mwaka 2017/2018 katika sekta za huduma za utalii, usafiri, ukarimu na anga. 
 
Inatoa mwanga wa kutosha kwenye ukuaji wa kuridhisha wa sekta za utalii na usafiri Afrika iliyoonyesha kwa miaka ya 2017 na 2018 ambapo imeonyesha kuongezeka kwa wageni kutoka mataifa ya nje. Ripoti hii kutoka Jumia inaenda mbele zaidi kwa kuainisha mchango wa sekta hizi kwenye uchumi, changamoto zilizopo na mustakabali wake kwa siku zijazo, ukizingatia sekta ya utalii Afrika inazidi kukua.

“Soko la usafiri kwa njia ya mtandaoni barani Afrika bado linakua na bila shaka linaonyesha matarajio makubwa. Tunayo furaha kubwa kwa mara nyingine tena kuwaletea ripoti hii iliyosheheni masuala tofauti kwenye sekta za ukarimu na anga Afrika. Na hili limefanikiwa kwa ushirikiano wa karibu na washirika wetu wa karibu,” amesema Bw. Joe Falter, Mkurugenzi Mkuu wa Jumia Travel na Food.

Kusoma ripoti kamili bonyeza hapa

Kubadilika kwa hali ya Usafiri wa Ndani

Ingawa bara hupokea 5% ya wasafiri wote wa nje, sekta ya usafiri na utalii Afrika inazidi kuendelea kuonyesha ukuaji mwaka hadi mwaka. Mwaka 2017, bara lilipokea idadi ya juu ya watalii milioni 63 kutoka mataifa ya nje ukilinganisha na watalii milioni 58 mwaka 2016 (9% zaidi ukilinganisha na 2016). Kutokana na unafuu na urahisi wa kusafiri, utalii wa ndani unakua Afrika, takwimu zinaonyesha 60% walisafiri ndani ya mipaka yao ukilinganisha na 40% kwenda nje.


Hivyo makala Jumia yazindua Ripoti ya Utalii Afrika 2018/2019

yaani makala yote Jumia yazindua Ripoti ya Utalii Afrika 2018/2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jumia yazindua Ripoti ya Utalii Afrika 2018/2019 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/jumia-yazindua-ripoti-ya-utalii-afrika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jumia yazindua Ripoti ya Utalii Afrika 2018/2019"

Post a Comment

Loading...