Loading...
title : WAZIRI MPINA ATANGAZA NEEMA KWA WAFUGAJI KWA KUGAWA EKARI 972,500 ZA ARDHI
link : WAZIRI MPINA ATANGAZA NEEMA KWA WAFUGAJI KWA KUGAWA EKARI 972,500 ZA ARDHI
WAZIRI MPINA ATANGAZA NEEMA KWA WAFUGAJI KWA KUGAWA EKARI 972,500 ZA ARDHI
NA JOHN MAPEPELE, RUKWA .
Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Luhaga Mpina ametangaza neema kwa wafugaji kwa kugawa ekari 972, 500 za ardhi ajili ya wafugaji wanaotangatanga kutafuta malisho ya mifugo yao ili kupata ufumbuzi wa kudumu ambao utamaliza kabisa migogoro baina ya wafugaji na wakulima iliyodumu kwa miaka mingi na kusababisha uvunjifu wa amani.
Akizindua zoezi la ugawaji wa ardhi hizo kwa wafugaji nchini katika Ranchi ya Kalambo wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Waziri Mpina amesema uamuzi huo wa Serikali umekuja kufuata wafugaji wengi nchini kuhangaika kila mahali kutafuta malisho na kusababisha migogoro mingi baina ya wafugaji, wakulima na watumiaji wengine wa ardhi.
“Pia wafugaji wengi walipata harasa kubwa kwa mifugo yao kutaifishwa kutozwa faini kubwa na hata mingine mingi kufa kutokana na kukamatwa kisha kushikiliwa kwa muda mrefu bila huduma muhimu ikiwemo maji, malisho na matibabu kwenye hifadhi mbalimbali za taifa nchini.” Alisisitiza Mpina
Alisema hadi sasa ekari 25,000 zenye uwezo wa kuhifadhi mifugo 6,000 katika Ranchi ya Kalambo mkoani Rukwa wafugaji zimemegawiwa ambapo na jumla ya ng’ombe 3,000 wameshaingia kwenye ranchi hiyo wakati Serikali na wafugaji wenyewe wakiendelea kutafuta suluhisho la kudumu la kupata malisho.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Joelson Mpina akimwangalia farasi anayetumika kwenye doria katika ranchi ya Kalambo Mkoani Rukwa
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh Luhaga Joelson Mpina akiangalia nyama inayochakatwa katika kiwanda cha SAAFI mkoani Rukwa kushoto kwake ni mmiliki wa kiwanda hichi Dkt Chrisant Mzindakaya .
Kundi la Ng'ombe bora katika ranchi ya Kalambo mkoani Rukwa .

Hivyo makala WAZIRI MPINA ATANGAZA NEEMA KWA WAFUGAJI KWA KUGAWA EKARI 972,500 ZA ARDHI
yaani makala yote WAZIRI MPINA ATANGAZA NEEMA KWA WAFUGAJI KWA KUGAWA EKARI 972,500 ZA ARDHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MPINA ATANGAZA NEEMA KWA WAFUGAJI KWA KUGAWA EKARI 972,500 ZA ARDHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/waziri-mpina-atangaza-neema-kwa.html
0 Response to "WAZIRI MPINA ATANGAZA NEEMA KWA WAFUGAJI KWA KUGAWA EKARI 972,500 ZA ARDHI"
Post a Comment