Loading...
title : KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA.
link : KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA.
KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi.Maimuna Tarishi akimuonesha Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi michoro ya ramani ya ujenzi wa Majengo ya Ofisi za Serikali Ihumwa wakati wa ziara yake eneo la Ihumwa Desemba 6, 2018.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi akiuliza jambo kuhusu ujenzi wa Ofisi za Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa Mhandisi kutoka SUMAJKT, Zabron Mahenge wakati wa ziara yake eneo lililotengwa kwa ujenzi wa Ofisi za Serikali la Ihumwa Dodoma.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi akionesha jambo kwa Mhandisi kutoka TBA, Amon Nghamba wakati wa ziara yake katika eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ihumwa Dodoma .
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi akimsikiliza Msanifu Majengo Moses Wadelanga wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa ujenzi wa Majengo ya Ofisi za Serikali Ihumwa Dodoma.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi akimsikiliza Msanifu Majengo Moses Wadelanga akifafanua jambo juu ya ujenzi wa Majengo ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika eneo la Ihumwa Jijin I Dodoma.
Hivyo makala KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA.
yaani makala yote KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/katibu-mkuu-kiongozi-atembelea-eneo-la.html
0 Response to "KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA."
Post a Comment