Loading...

Kigamboni International Marathon 2018 Yafana Jijini Dar es Salaam.

Loading...
Kigamboni International Marathon 2018 Yafana Jijini Dar es Salaam. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kigamboni International Marathon 2018 Yafana Jijini Dar es Salaam., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kigamboni International Marathon 2018 Yafana Jijini Dar es Salaam.
link : Kigamboni International Marathon 2018 Yafana Jijini Dar es Salaam.

soma pia


Kigamboni International Marathon 2018 Yafana Jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva akikimbia KM 10 mbio Kimataifa za Kigamboni mapema leo zilizoanzia eneo la Fun City jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Ofisa Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni Rahel Mhando (kushoto) nyuma ni Meya wa Kigamboni Mhe. Maabadi Suleiman Hoja (CCM). Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva akikimbia za mbio KM 10 za Kigamboni mapema leo eneo la Fun City jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Ofisa Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni Rahel Mhando (kushoto).
Wakimbiaji wa KM 41 wakifukuza upepo katika mchuano mkali.
Kila mmoja akionyesha umahili wake wa kufukuza upepo katika mbio za Kigamboni International Marathon 2018 zilizofanyika Kigamboni jijini Dar es Salaam.
...Wakiwa na nyuso za uchovu.... kila mmoja kamnunia mwenzake
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva aakifutahia mara baada ya kumaliza mbio za mbio KM 10 za Kigamboni mapema leo eneo la Fun City jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni Rahel Mhando na Kushoto ni Meya wa Kigamboni Mhe. Maabadi Suleiman Hoja (CCM).
 Kila mmoja alikuwa na furaha baada ya kupokea medali yake...
 Muandaaji Dimo Dibwe akiwa na Imani Kajula mara baada ya kumaliza shindano.


Hivyo makala Kigamboni International Marathon 2018 Yafana Jijini Dar es Salaam.

yaani makala yote Kigamboni International Marathon 2018 Yafana Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kigamboni International Marathon 2018 Yafana Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/kigamboni-international-marathon-2018.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kigamboni International Marathon 2018 Yafana Jijini Dar es Salaam."

Post a Comment

Loading...