Loading...

Kiongozi Chama Cha Tadea Akabidhi Msaada wa Kifusi Kwa Ajili ya Ujenzi wa Barabara ya Shehia ya Shakani.

Loading...
Kiongozi Chama Cha Tadea Akabidhi Msaada wa Kifusi Kwa Ajili ya Ujenzi wa Barabara ya Shehia ya Shakani. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kiongozi Chama Cha Tadea Akabidhi Msaada wa Kifusi Kwa Ajili ya Ujenzi wa Barabara ya Shehia ya Shakani., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kiongozi Chama Cha Tadea Akabidhi Msaada wa Kifusi Kwa Ajili ya Ujenzi wa Barabara ya Shehia ya Shakani.
link : Kiongozi Chama Cha Tadea Akabidhi Msaada wa Kifusi Kwa Ajili ya Ujenzi wa Barabara ya Shehia ya Shakani.

soma pia


Kiongozi Chama Cha Tadea Akabidhi Msaada wa Kifusi Kwa Ajili ya Ujenzi wa Barabara ya Shehia ya Shakani.

Na Takdir Ali,  Maelezo -Zanzibar.
Waziri asiekuwa na Wizara Maalum (MBM)Mh.Juma Ali Khatibu amesema atahakikisha anaendeleza kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa vitendo kwa kuwaletea Maendeleo Wananchi katika maeneo yao.
Ameyasema hayo huko Shakani alipokuwa akikabidhi kifusi cha ujenzi wa njia  yenye urefu wa mita 300,chenye thamani ya zaidi ya milioni 6 na kusema ameamua kukabidhi kifusi hicho ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM.
Amesema Wananchi wanahitaji huduma mbali mbali kama vile ya maji,umeme na barabara hivyo ni vyema kwa viongozi hao kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa kuwatatulia matatizo wananchi.
Hata hivyo amewataka wengine kuunga Mkono juhudi za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein za kuwatumikia Wananchi na kuomba kupewa mashirikiano ya hali na mali ili aweze kutekeleza majukumu yake vizuri.
Mh,Khatib ambae pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Ada Tadea amewataka Viongozi waliochaguliwa kutatua matatizo yanayowakabili Wananchi ikiwa ni pamoja na Maji,Umeme na Barabara bila kujadili Itikadi za vyama vyao.
Nao baadhi ya Wakaazi wa Shehia ya Shakani Wilaya ya Magharibi “B” wamempongeza Waziri huyo kwa msaada huo ambao utawasaidia kuondosha usumbufu wanaoupata hasa wakati wa mvua na kuwaomba Viongozi wengine kuiga mfano kama huo.
Imetolewa na Idara ya Habari Maelezo Zanzibar.


Hivyo makala Kiongozi Chama Cha Tadea Akabidhi Msaada wa Kifusi Kwa Ajili ya Ujenzi wa Barabara ya Shehia ya Shakani.

yaani makala yote Kiongozi Chama Cha Tadea Akabidhi Msaada wa Kifusi Kwa Ajili ya Ujenzi wa Barabara ya Shehia ya Shakani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kiongozi Chama Cha Tadea Akabidhi Msaada wa Kifusi Kwa Ajili ya Ujenzi wa Barabara ya Shehia ya Shakani. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/kiongozi-chama-cha-tadea-akabidhi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kiongozi Chama Cha Tadea Akabidhi Msaada wa Kifusi Kwa Ajili ya Ujenzi wa Barabara ya Shehia ya Shakani."

Post a Comment

Loading...