Loading...
title : KAMPUNI YA GOOD JOB ENTERTAINMENTS YANDAA SAFARI YA KUTEMBELEA HIFADHI YA TARANGIRE
link : KAMPUNI YA GOOD JOB ENTERTAINMENTS YANDAA SAFARI YA KUTEMBELEA HIFADHI YA TARANGIRE
KAMPUNI YA GOOD JOB ENTERTAINMENTS YANDAA SAFARI YA KUTEMBELEA HIFADHI YA TARANGIRE
Na Agness Francis, Blogu ya Jamii
KAMPUNI ya Good Job Entertainments imesema imeona umuhimu wa kutoa fursa kwa Watanzania kuwa na mazoea ya kutembelea utalii wa ndani zikiwamo mbuga za wanyama.
Hivyo kampuni hiyo imeamua kuandaa safari ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Tarangire mkoani Manyara katika msimu huu Sikukuu ya Krismass ambapo Mratibu wa Safari ya keenda Hifadhi ya Taifa ya Tarangire Juma Mtetwa amesema leo jijini Dar es Salaam kuwa safari hiyo itaanza Desemba 24 na kurudi Desemba 26 mwaka huu.
Amefafanua lengo la kuandaa safari hiyo ni kuhamasisha na kuuza elimu ya maisha ya wanyamapori na kupata muda wa kumpumzika katika msimu huu wa Sikukuu ya X-Mas huku akisisitiza uamuzi huo pia unalenga kuunga mkono kauli mbili ya kuhamasisha utalii wa ndani vitendo.
"Washiriki wa safari hiyo wanatakiwa kufanya maombi ya ununuzi wa tiketi mapema Good job Entertainment ambapo Bibi na Bwana itakuwa Sh.350,000 na kwa mtu mmoja ni Sh.200,000,"amesema.Kwa upande wake Ofisa Masoko wa Tarangire National Park Gedfrey Mbona amesema kuwa
Watanzania watumie fursa ya kuhamasika kutembelea utalii wa ndani ambao baada ya hapo watakuwa mabalozi wazuri wa kuelezea utalii wetu kwa wageni wanaotoka nchi mbalimbali kuja nchini."Tarangire ni nyumbani kwa tembo kwani kuna idadi kubwa ya wanyama hao kuliko mbuga zote hapa nchini.Pia kwenye hifadhi zetu tunao Simba, Duma, Chui, Twiga na wengine wanyama wengine wengi.Tumeajindaa vizuri kuwapokea watalii wetu na tunaimani mtakaporudi majumbani mtakuwa wajumbe wazuri kwa wengine,"amesema.
Hivyo makala KAMPUNI YA GOOD JOB ENTERTAINMENTS YANDAA SAFARI YA KUTEMBELEA HIFADHI YA TARANGIRE
yaani makala yote KAMPUNI YA GOOD JOB ENTERTAINMENTS YANDAA SAFARI YA KUTEMBELEA HIFADHI YA TARANGIRE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA GOOD JOB ENTERTAINMENTS YANDAA SAFARI YA KUTEMBELEA HIFADHI YA TARANGIRE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/kampuni-ya-good-job-entertainments.html
0 Response to "KAMPUNI YA GOOD JOB ENTERTAINMENTS YANDAA SAFARI YA KUTEMBELEA HIFADHI YA TARANGIRE"
Post a Comment