Loading...

LUGOLA AWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI VITUO VYA POLISI KUIMARISHA USALAMA NCHINI

Loading...
LUGOLA AWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI VITUO VYA POLISI KUIMARISHA USALAMA NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LUGOLA AWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI VITUO VYA POLISI KUIMARISHA USALAMA NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LUGOLA AWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI VITUO VYA POLISI KUIMARISHA USALAMA NCHINI
link : LUGOLA AWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI VITUO VYA POLISI KUIMARISHA USALAMA NCHINI

soma pia


LUGOLA AWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI VITUO VYA POLISI KUIMARISHA USALAMA NCHINI

Na Felix Mwagara, (MOHA) MARA.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka Watanzania wawe na utamaduni wa kuchangia ujenzi wa vituo vya polisi kama wanavyochanga katika michango mingine ya maendeleo nchini.

Lugola amesema ni mara chache sana kuona wananchi wanachangia ujenzi wa kituo cha polisi katika maeneo wanayoishi kutokana na baadhi ya Watanzania wanaamini vituo vya polisi ujengwa na serikali pekee jambo ambalo halina msingi la linakwamisha maendeleo ya nchi.

Akizungumza na mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Kibara B, Mwibara, Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara, Lugola amesema ili usalama uzidi kuimarishwa katika maeneo mbalimbali nchini, wananchi wanapaswa kushirikiana na Serikali katika ujenzi wa vituo vya polisi.

Lugola alisema katika mikutano yake ya nchi nzima anayoendelea kuifanya, atazidi kuwahamasisha wananchi waweke utamaduni wa kuchangia kwa ajili wa ujenzi wa vituo hivyo ili ulinzi upatikane sehemu mbalimbali nchini na kupunguza au kuyaondoa kabisa matukio ya uhalifiu.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Kibara B, Mwibara, Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara, leo.  Lugola aliwaomba wananchi wa kijiji hicho wachangie ujenzi wa kituo vya polisi katika eneo hilo ili kuimarisha ulinzi wa raia na mali zao. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), akimsikiliza Mkazi wa Kijiji cha Sikiro, Kata ya Iramba, Mwibara Wilayani Bunda, Mkoa wa Mara, Elia Majinge alipokua anatoa kero yake katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji hicho, jimboni humo, leo. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kibara B, Mwibara, Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara, leo.  Lugola aliwaomba wananchi kijijini hapo wachangie ujenzi wa kituo vya polisi ili kuimarisha ulinzi zaidi nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala LUGOLA AWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI VITUO VYA POLISI KUIMARISHA USALAMA NCHINI

yaani makala yote LUGOLA AWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI VITUO VYA POLISI KUIMARISHA USALAMA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LUGOLA AWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI VITUO VYA POLISI KUIMARISHA USALAMA NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/lugola-awaomba-wananchi-kuchangia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LUGOLA AWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI VITUO VYA POLISI KUIMARISHA USALAMA NCHINI"

Post a Comment

Loading...