Loading...

MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA DESEMBA 31 UWANJA WA KINESI

Loading...
MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA DESEMBA 31 UWANJA WA KINESI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA DESEMBA 31 UWANJA WA KINESI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA DESEMBA 31 UWANJA WA KINESI
link : MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA DESEMBA 31 UWANJA WA KINESI

soma pia


MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA DESEMBA 31 UWANJA WA KINESI

Mabondia Azizi Uliza na Ramadhani Shauri wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Desema 31, 2018 mpambano wa kufunga mwaka na kufungua mwaka. Aliyekuwa wa kwanza kabisa kuingia katika viwanja vya las Vegasi Mabibo kwa ajili ya kupima uzito ni Azizi Uliza aliyeingia uwanjani kwa shangwe na ndelomo uku akisindikizwa na wapambe wake pamoja na vigoma.

Baara ya Saa moja Bondia Ramadhani Shauri naye akaingia na shangwe na ndelemo, vifijo zaidi ya mwenzake hata hivyo nani zaidi ya mwenzie itajulikana katika uwanja wa Kinesi, Shekilango jijini Dar es Salaam ambapo pambano hilo litapigwa kwa Raundi 10.

Akizungumzia mpambano huo, Promota  Josepher Nyilawila kutoka Kampuni ya Ijuka Sports amesema kuwa ulizi utakuwa ni wa kutosha, amesema mbali na mpambano uho siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine yatakayowakutanisha mabondia mbalimbali ambapo Hussein Itaba atazipiga na Kanda Kabongo na Tonny Rashidi atazichapa na Nassoro Madimba kutoka Bagamoyo maeneo ya Kiwangwa na Rolen Japhert atazikunja na Mohamedi Kashinde 'Simba wa Mbagala' naye Baina Mazola ataoneshana umwamba na Faraji Sayuni.

Amesema mapambano yote hayo yatakuwa kwa kingilio cha Tsh 6000 na kwa V.I.P 10, 000 ambapo utashuhudia mapambano yote
Bondia Mussa Msabaha kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Makubi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kufunga mwaka utakaofanyika Desemba 31 katika viwanja vya Kinesi Shekilango maeneo ya Urafiki Picha na Super D Boxing News
Bondia Azizi Uliza akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kufunga mwaka utakaofanyika Desemba 31 katika uwanja wa kinesi uliopo Shekilango akizipiga na Ramadhani Shauri mpambano wa Raundi kumi.
Wasichana wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kufunga mwaka utakaofanyika Desemba 31 katika viwanja vya Kinesi Shekilango maeneo ya Urafiki


Hivyo makala MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA DESEMBA 31 UWANJA WA KINESI

yaani makala yote MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA DESEMBA 31 UWANJA WA KINESI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA DESEMBA 31 UWANJA WA KINESI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mabondia-wapima-uzito-kuzipiga-desemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA DESEMBA 31 UWANJA WA KINESI"

Post a Comment

Loading...