Loading...

WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WASIOFUATA KANUNI KUCHUKULIWA HATUA KALI

Loading...
WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WASIOFUATA KANUNI KUCHUKULIWA HATUA KALI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WASIOFUATA KANUNI KUCHUKULIWA HATUA KALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WASIOFUATA KANUNI KUCHUKULIWA HATUA KALI
link : WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WASIOFUATA KANUNI KUCHUKULIWA HATUA KALI

soma pia


WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WASIOFUATA KANUNI KUCHUKULIWA HATUA KALI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya Jamii
WAMILIKI wa maabara na vituo vya afya nchini wametakiwa kutimiza wajibu wao mara moja bila shurti kabla ya Januari 15 2019 kwa kuhakikisha wanakamilisha vigezo vyote vya umiliki maabara hizo kwa kuwa muda wa kutoa elimu umepita na sasa ni muda wa kazi tu.

Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa  Tiba wa Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto na Mkurugenzi wa bodi ya usajili wa maabara Dkt. Dorothy Gwajima amesema kuwa hadi kufikia Septemba 2018 bodi ya usimamizi wa maabara binafsi ilitambua jumla ya maabara 641 zinazojitegemea na maabara 719 zilizoshikizwa kwenye vituo vya tiba vya watu binafsi vya ngazi mbalimbali.

Amesema kuwa kutokana na baadhi ya wamiliki wa maabara binafsi hasa zilizoshikizwa kutofuata maadili ya uwajibikaji kisheria kufikia Septemba 20, bodi kupitia ziara yake imebaini kuwa kati ya vituo vya tiba 1731vya  watu binafsi vyenye maabara ndani ni maabara 1012 sawa na asilimia 58 pekee ndizo zilizotimiza wajibu wake wa kujiandikisha kwenye bodi ya usimamizi wa maabara binafsi na kutekeleza matakwa ya kisheria.

Amesema kuwa wamiliki ambao hawatatekeleza wajibu wao wa kumiliki maabara hizo watachukuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo kifungo pamoja na faini au vyote kwa pamoja.
Mkurugenzi wa  Tiba wa Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto na Mkurugenzi wa bodi ya usajili wa maabara Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa sheria ya umiliki wa maabara binafsi za Afya.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Maabara Binafsi za Afya akijibu maswali ya waandishi wa habari wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari uliohusu utekelezaji wa sheria ya umiliki wa maabara binafsi za Afya uliofanyika katika ukumbi wa ofisi ndogo za wizara ya Afya jijini Dar es Salaam. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WASIOFUATA KANUNI KUCHUKULIWA HATUA KALI

yaani makala yote WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WASIOFUATA KANUNI KUCHUKULIWA HATUA KALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WASIOFUATA KANUNI KUCHUKULIWA HATUA KALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/wamiliki-wa-maabara-binafsi-wasiofuata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAMILIKI WA MAABARA BINAFSI WASIOFUATA KANUNI KUCHUKULIWA HATUA KALI"

Post a Comment

Loading...