Loading...
title : MAJALIWA AKUTANA NA BODI YA TCCIA PIA AKUTANA NA MAWAZIRI PAMOJA KAMISHINA WA UHAMIAJI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TIC
link : MAJALIWA AKUTANA NA BODI YA TCCIA PIA AKUTANA NA MAWAZIRI PAMOJA KAMISHINA WA UHAMIAJI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TIC
MAJALIWA AKUTANA NA BODI YA TCCIA PIA AKUTANA NA MAWAZIRI PAMOJA KAMISHINA WA UHAMIAJI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TIC
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao cha Kazi alichokiitisha cha kujadili namna ya kuondoa kero zinazowapata wawekezaji kuhusu upatikanaji wa vibali vya Kazi na Uhamiaji. Kikao hicho kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Desemba 19, 2018, kiliwahusisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wapili kulia), Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni (watatu kushoto) , Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde (watatu kulia), Kamishina wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Geofrey Mwambe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AKUTANA NA BODI YA TCCIA PIA AKUTANA NA MAWAZIRI PAMOJA KAMISHINA WA UHAMIAJI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TIC
yaani makala yote MAJALIWA AKUTANA NA BODI YA TCCIA PIA AKUTANA NA MAWAZIRI PAMOJA KAMISHINA WA UHAMIAJI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TIC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AKUTANA NA BODI YA TCCIA PIA AKUTANA NA MAWAZIRI PAMOJA KAMISHINA WA UHAMIAJI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TIC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/majaliwa-akutana-na-bodi-ya-tccia-pia.html
0 Response to "MAJALIWA AKUTANA NA BODI YA TCCIA PIA AKUTANA NA MAWAZIRI PAMOJA KAMISHINA WA UHAMIAJI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TIC"
Post a Comment