Loading...
title : RAIS DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA – KIBAHA
link : RAIS DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA – KIBAHA
RAIS DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA – KIBAHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata Utepe na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Kisiasa pamoja na Viongozi wa Dini wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 .Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Kisiasa pamoja na Viongozi wa Dini kuashiria uwekaji rasmi wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 .Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai mara baada ya kufunua kitambaa kuashiria uwekaji rasmi wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 .Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Roberth Mfugale akitoa maelezo ya mradi wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 .Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumpongeza Mbunge wa Kibamba John Mnyika (CHADEMA) wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 .Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumpongeza Mbunge wa Ubungo Said Kubenea (CHADEMA) wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 .Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>
Hivyo makala RAIS DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA – KIBAHA
yaani makala yote RAIS DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA – KIBAHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA – KIBAHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rais-dktmagufuli-aweka-jiwe-la-msingi.html
0 Response to "RAIS DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI UPANUZI WA BARABARA YA KIMARA – KIBAHA"
Post a Comment