Loading...
title : MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI MKUU WA MISRI, DKT. MOSTAFA MADBOULY
link : MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI MKUU WA MISRI, DKT. MOSTAFA MADBOULY
MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI MKUU WA MISRI, DKT. MOSTAFA MADBOULY
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkaribisha Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly ambaye aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Desemba 11, 2018 kwa ziara ya siku mbili nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly ambaye aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Desemba 11, 2018 kwa ziara ya siku mbili nchini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly kwenye hoteli ya Hyyat Regency jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI MKUU WA MISRI, DKT. MOSTAFA MADBOULY
yaani makala yote MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI MKUU WA MISRI, DKT. MOSTAFA MADBOULY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI MKUU WA MISRI, DKT. MOSTAFA MADBOULY mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/majaliwa-ampokea-waziri-mkuu-wa-misri.html
0 Response to "MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI MKUU WA MISRI, DKT. MOSTAFA MADBOULY"
Post a Comment