Loading...
title : MANYANYA ,AWATAKA WANANCHI KUTEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA NDANI
link : MANYANYA ,AWATAKA WANANCHI KUTEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA NDANI
MANYANYA ,AWATAKA WANANCHI KUTEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA NDANI
Akizungumza katika haflahiyo Manyanya amesema , Wizara hiyo itaendelea kuratibu sekta ya viwanda na kilimo na kuhakikisha kunakuwa na tija kwa wakulima napia amesema wataendelea kuweka mazingira wezeshi na kuondoa vikwazo kwa wawekezaji na mkakati kabambe umewekwa.
Amewataka washiriki wa maonesho hayo kutumia vizuri fursa ya soko huru na kuaacha tabia ya kuingiza biadhaa za magendo kwani inaathri biashara ya bidhaa za ndani jambo ambalo likiachwa liatadumaza biashara , amesema Serikali imeendelea kufanya ukaguzi wa mara kwa mara kudhibiti wafanya biashara wasio waamifu ambao hulea bidhaa za magendo kutoka nje yanchi na kushusha bei ya bidhaa na kuathiri biagha ya ndani.
Katika Maonyesho ya tatu ya biashaya biadhaa za Tanzania na maadhimisho ya siku ya viwanda Afrika, kumekuwa na ongezeko lawashiriki mwakahuu ambapo viwanda na Tasisi vimemefikia 513,mwaka huu kutoka wafanyabiashara 506, mwaka jana 2017.
Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Pombe Magufuli imeweka nguvu kubwa katika ktekeleza sera ya ya Maendeleo endelevu ya Viwanda (1996 -2020) awamu ya tatu inayo tekelezwa kwa kipindi cha 2010 -2020 ambayo inatekelezwa kwa mkakati unganishi wa maendeleo ya Viwanda na mpango wa pili wa maendeleo ya miaka mitano 2016/17 -2020/21 moja ya malengo ya awamu hiyo ambapo ni kuiwezesha sekta ya Viwanda kuleta mabadiliko ya uchumi ili kuiwezesha nchi kufikia uchumi wa kati.
Pamoja na hayo amesema serikali imechukua jukumu la kununua korosho ili kumlinda mkulima , na kuwaomba wafanyabiashara wenye uwezo kusaidia kuagiza mashine za kubangua korosho wafaye hiyo ili kuunga mkono juhudi za serikali kumkomboa mkulima .
“ Tunawahitaji wadau wa maendeleo kujitokeza kuwekeza katika korosho na si kuwalangua wakulima kwa beindogo napia nasisitiza watanzania tupende bidhaa zetu za ndani”alisema
Kwa upande wake mwenyekiti wa Body ya TANRADE Dkt Ngw’anza Kamata ,amesema Tantrade kazi yake ni kuwatafutia masoko wafanya biashara ndani nanje ya nchi na kwamba yeye atasimamia maelekezo yote yanayo kuhusu biashara ili wafanya biashara waweze kunufaika na pia Mamlaka hiyo itaendelea kuyatambua na kuyaainisha masoko ndani nan je kwaajili ya wafanyabiashara.
Amesema maonyesho ya biashara yanayofanywa na TANTRADE yanalengo ya kuwakutanisha wafanyabiasha , wenyeviwanda na watumiaji wabidhaa ilikuona namna wanvyo weza kubadilishana mawazo na itasaidia kukuza biashara.
Hivyo makala MANYANYA ,AWATAKA WANANCHI KUTEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA NDANI
yaani makala yote MANYANYA ,AWATAKA WANANCHI KUTEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA NDANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MANYANYA ,AWATAKA WANANCHI KUTEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA NDANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/manyanya-awataka-wananchi-kutembelea.html
0 Response to "MANYANYA ,AWATAKA WANANCHI KUTEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA NDANI"
Post a Comment