Loading...
title : MIL. 800 ZATAKIWA KUKAMILISHA MAKAZI MRADI WA STIGLERS GORGE
link : MIL. 800 ZATAKIWA KUKAMILISHA MAKAZI MRADI WA STIGLERS GORGE
MIL. 800 ZATAKIWA KUKAMILISHA MAKAZI MRADI WA STIGLERS GORGE
NA MWAMVUA MWINYI, RUFIJI .
NAIBU Waziri wa Ujenzi ,Elias Kuandikwa amemuagiza mtendaji mkuu wa Wakala wa Majengo Nchini (TBA) awasiliane na wizara ya nishati ,kuharakisha upatikanaji wa sh.milioni 800 ili kumalizia ukarabati wa nyumba za makazi 34 zinazojengwa katika ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme wa stiglers gorge Rufiji mkoani Pwani.
Aidha amemtaka msimamizi wa ujenzi wa nyumba hizo kuhakikisha wanamaliza ujenzi huo wiki nne zijazo. Kuandikwa alielekeza hayo, wakati alipotembelea ujenzi wa barabara kutoka Kibiti -Mkongo na upande wa Mkoa wa Morogoro kupitia Ngerengere hadi Ubena-zote kuelekea kwenye mradi wa stiglers gorge.
Alisema,wizara kupitia TBA ilikuwa na jukumu la kukarabati maeneo ya makazi na kutakiwa kumaliza mwezi Novemba mwaka huu lakini kutokana na changamoto ya kifedha ujenzi upo hatua ya umaliziaji. ” Nyumba hizi ni muhimu na kuna haja ya kuzikamilisha mapema ili mkandarasi akifika kuanza kazi akute mazingira ya makazi yako vizuri.”
Hivyo makala MIL. 800 ZATAKIWA KUKAMILISHA MAKAZI MRADI WA STIGLERS GORGE
yaani makala yote MIL. 800 ZATAKIWA KUKAMILISHA MAKAZI MRADI WA STIGLERS GORGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MIL. 800 ZATAKIWA KUKAMILISHA MAKAZI MRADI WA STIGLERS GORGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mil-800-zatakiwa-kukamilisha-makazi.html
0 Response to "MIL. 800 ZATAKIWA KUKAMILISHA MAKAZI MRADI WA STIGLERS GORGE"
Post a Comment