Loading...

MKULIMA WA MIHOGO ASHINDA MILIONI 10 KUTOKA CBA

Loading...
MKULIMA WA MIHOGO ASHINDA MILIONI 10 KUTOKA CBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKULIMA WA MIHOGO ASHINDA MILIONI 10 KUTOKA CBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKULIMA WA MIHOGO ASHINDA MILIONI 10 KUTOKA CBA
link : MKULIMA WA MIHOGO ASHINDA MILIONI 10 KUTOKA CBA

soma pia


MKULIMA WA MIHOGO ASHINDA MILIONI 10 KUTOKA CBA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
BENKI ya Commercial Bank of Africa (CBA) kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya Vodacom wamekamilisha rasmi leo kampeni yao  "Shinda na M pawa"  kwa kutangaza washindi watano waliojishindia bajaji na mshindi mkuu wa droo hiyo akijishindia pesa taslimu kiasi cha shilingi milioni 10.

Akimwakilisha Mkurugenzi mtendaji wa benki ya CBA Hakim Sheikh amesema kuwa benki hiyo inaendelea kutimiza ahadi kwa wateja wake kwa kuwazadia washiriki wote walioshiriki katika droo zote zilizofanyika.

Hakim amesema kuwa, "Kampeni hii imetupa fursa kubwa ya kuwahamasisha wateja wetu hasa kwa kujiwekea utamaduni wa kujiwekea akiba na tunawahimiza watanzania ambao bado hawajajiunga na benki ya CBA kujiunga na benki yetu ili waweze kufaidika na fursa mbalimbali zinazotolewa na benki ya CBA" ameeleza Hakim.

Hakim amesema kuwa benki yao itaendelea kutumia teknolojia katika katika kuhakikisha wanawafikia watanzania zaidi na kuongeza idadi ya wateja zaidi ya milioni 7 waliopo sasa.

Aidha amewapongeza washindi waliopatikana kwenye droo hiyo ya mwisho na kuahidi kudumisha  na kuboresha huduma yao na amewaomba watanzania waendelee kutumia huduma kutoka benki ya CBA.
 Mwakilishi wa Mkurugenzi wa benki ya CBA Hakim Sheikh akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuchezesha droo ya mwisho ambapo tangu kuanza kwa kuchezeshwa kwa droo hiyo jumla ya washindi 200 kwa kila droo wamepatikana.
Meneja masoko wa Kampuni ya simu ya Vodacom, Noel Mazoya akizungumza  na waandishi wa habari mara baada ya kuchezeshwa kwa droo hiyo ambapo ameipongeza benki ya CBA kwa kuendesha  shindano hilo kwa uadilifu.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala MKULIMA WA MIHOGO ASHINDA MILIONI 10 KUTOKA CBA

yaani makala yote MKULIMA WA MIHOGO ASHINDA MILIONI 10 KUTOKA CBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKULIMA WA MIHOGO ASHINDA MILIONI 10 KUTOKA CBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mkulima-wa-mihogo-ashinda-milioni-10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKULIMA WA MIHOGO ASHINDA MILIONI 10 KUTOKA CBA"

Post a Comment

Loading...