Loading...

MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KIUTENDAJI NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA

Loading...
MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KIUTENDAJI NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KIUTENDAJI NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KIUTENDAJI NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA
link : MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KIUTENDAJI NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA

soma pia


MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KIUTENDAJI NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) amewataka watumishi wa ofisi yake kuwa mfano wa kuigwa na taasisi nyingine kiutendaji kwa kufanya kazi kwa bidii, maarifa, uadilifu na weledi ili kujenga misingi bora ya utumishi wa umma nchini. 

Mhe. Dkt. Mwanjelwa ametoa maelekezo hayo leo wakati akizungumza na menejimenti ya ofisi yake, lengo likiwa ni kufahamiana na kupanga mkakati madhubuti wa utendaji kazi utakaoziwezesha taasisi za umma nchini kutoa huduma bora kwa umma. 

Mhe. Dkt. Mwanjelwa amesema, watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wamepewa dhamana ya kuhakikisha utumishi wa umma unakuwa na tija na maslahi kwa maendeleo ya taifa hivyo hawana budi kutekeleza wajibu wao kikamilifu. 

Mhe. Dkt. Mwanjelwa ameongeza kuwa, watumishi wakifanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya utumishi wa umma iliyopo, malalamiko yasiyo ya lazima kwenye eneo la utumishi na utawala bora yatapungua kwa kiwango kikubwa. 

Aidha, Mhe. Dkt. Mwanjelwa amesisitiza kuwa, mtumishi wa umma anatakiwa kupimwa kwa utendaji kazi wake kwa matokea chanya ili atakapopanda daraja ajivunie utendaji kazi wake na kuongeza kuwa, upimaji huo utapunguza malalamiko ya kutopandishwa madaraja kwa watumishi ambao hawawajibiki ipasavyo. 
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akisisitiza jambo kwa wajumbe wa kikao cha menejimenti ya ofisi yake (hawapo pichani) alipokutana nao kwa lengo kufahamiana na kupanga mkakati madhubuti wa utendaji kazi utakaoziwezesha taasisi za umma nchini kutoa huduma bora kwa umma.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha menejimenti ya Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) alipokutana nao kwa lengo kufahamiana na kupanga mkakati madhubuti wa utendaji kazi utakaoziwezesha taasisi za umma nchini kutoa huduma bora kwa umma.




Hivyo makala MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KIUTENDAJI NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA

yaani makala yote MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KIUTENDAJI NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KIUTENDAJI NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mwanjelwa-awataka-watumishi-wa-ofisi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUWA MFANO WA KUIGWA KIUTENDAJI NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA"

Post a Comment

Loading...