Loading...

ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN

Loading...
ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN
link : ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN

soma pia


ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN

Na Zanab Nyamka, Globu ya Jamii.

Mahafali ya kumi na moja (11) ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yamefanyika jana kwa jumla ya wahitimu 1769 wametunukiwa katika ngazi mbalimbali.

Kwenye mahafali hayo wahitimu 1736 wametunukiwa digrii za awali katkka fani mbalimbali, 26 wakitunukiwa stashada ya uzamili katika elimu na 7 wakitunukiwa shahada ya umahiri.

Akitoa hotuba kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es salaam Dkt Jakaya Mrisho Kikwete , Rasi wa Chuo Kikuu Kishirikishi Professa Bernadeta Killian amesema kuwa kati ya wahitimu wote wa mwaka huu wanaume ni 1255 na wanawake ni 514.

Amesema idadi ya wahitimu kwa upande wa digrii za awali ni kubwa ikilinganishwa na wahitimu wa miaka yote iliyopita, kwani wahitimu wa digrii za awali kwa mwaka 2017 ilikua ni 1443 ambalo ni ongezeko la wahitimu 239 na kufikia 1736 na wahitimu wa masomo ya sayansi kuongezeka mara mbili kutoka 231 kwa mwaka 2017 kufikia 472 kwa mwaka 2018.
Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Dkt Jakaya Kikwete akitoa cheti kwa Mwanafunzi Bora wa kike kutoka kitivo cha Elimu Irene Loshiro wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Shirikishi cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).Mahafali ya kumi na moja (11) ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) yamefanyika jana ambapo jumla ya wahitimu 1769 wametunukiwa katika ngazi mbalimbali.
Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Dkt Jakaya Kikwete akitoa cheti kwa Mwanafunzi Bora wa kiume kutoka kitivo cha Sayansi Mohamed Hassan wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Shirikishi cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) .
Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Dkt Jakaya Kikwete akiwa na Mwanafunzi Bora wa kike kutoka kitivo cha ElimuIrene Loshiro na Mwanafunzi bora wa Kiume Kitivo cha Sayansi Mohamed Hassan wakati wa mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Shirikishi cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) jana.



Hivyo makala ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN

yaani makala yote ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/ongezeko-wahitimu-chuo-kikuu-kishiriki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ONGEZEKO WAHITIMU CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE NI MAFANIKIO- PROF KILLIAN"

Post a Comment

Loading...