Loading...

RAIA WA MSUMBIJI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA

Loading...
RAIA WA MSUMBIJI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIA WA MSUMBIJI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIA WA MSUMBIJI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA
link : RAIA WA MSUMBIJI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA

soma pia


RAIA WA MSUMBIJI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii. 

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kitengo cha makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, imemuhukumu Mwanamke mmoja Ana Moisie Chissano (36)raia wa Msumbiji kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia katika shtaka la kukutwa na Kg 3.03 za dawa za kulevya aina ya cocaine Hydrochloride.

Mshtakiwa aliyekuwa amefunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi namba 6/2016 amefungwa chini ya kifungu cha sheria cha 15(1)(b) cha sheria namba 5 ya 2015 cha sheria Kuzuia na kusababisha na kupambana na dawa za kulevya. 

Hukumu hiyo imesomwa leo Desemba 12.2018 na Jaji Lilian Mashaka baada upande wa mashtaka kuweza kuthibitisha mashtaka hayo pasipo Kuacha shaka baada ya kuridhika na ushahidi wa mashahidi sita wa upande wa mashtaka waliofika mahakamani hapo kutoa ushahidi wao.

Aidha Mahakama Imeamuru dawa hizo za kulevya kuteketezwa kwa utaratibu unaostahili.Akitoa hukumu hiyo jana, Jaji Lilian Mashaka amesema ametoa adhabu hiyo kulingana na kifungu cha sheria namba 15 (1) (b) cha Sheria namba 5 ya 2015 ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya.

Jaji Mashaka amesema sheria hiyo inaelekeza mtu yoyote anayejihusisha na dawa za kulevya anapopatikana na hatia anapaswa kutumikia kifungo cha maisha jela."Nimezingatia sababu zilizotolewa na mshitakiwa, lakini mahakama pia imezingatia sheria ambayo imeweka adhabu kwa mtu kupitia kifungu hicho inayosema mtu yeyote atakayepatikana na hatia kwa makosa ya dawa za kulevya basi adhabu yake ni jela maisha.



Hivyo makala RAIA WA MSUMBIJI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA

yaani makala yote RAIA WA MSUMBIJI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIA WA MSUMBIJI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/raia-wa-msumbiji-ahukumiwa-kifungo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIA WA MSUMBIJI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA"

Post a Comment

Loading...