Rais Dkt. Magufuli ashiriki katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dkt. Magufuli ashiriki katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Rais Dkt. Magufuli ashiriki katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesulink :
Rais Dkt. Magufuli ashiriki katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu
Rais Dkt. Magufuli ashiriki katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kanisani kwa ajili ya kushiriki Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Desemba 30,2018.
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Desemba 30,2018.
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa Amani na Masista wa kanisa katoriki na waumini wengine wakati wa Ibada ya jumapili ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Desemba 30,2018.
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na watoto wa kanisa katoriki wakati wa Ibada ya jumapili ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Desemba 30, 2018.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Paroko msaidizi Padre Asis Mendokta mara baada ya kuungana na waumini wengine katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Desemba 30, 2018.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala Rais Dkt. Magufuli ashiriki katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu
yaani makala yote Rais Dkt. Magufuli ashiriki katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dkt. Magufuli ashiriki katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rais-dkt-magufuli-ashiriki-katika-misa.html
0 Response to "Rais Dkt. Magufuli ashiriki katika Misa ya Maadhimisho ya sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu"
Post a Comment