Loading...

AKAUNTI HALALI ZA INSTAGRAM NA TWITTER ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANGI ALPHAXARD LUGOLA

Loading...
AKAUNTI HALALI ZA INSTAGRAM NA TWITTER ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANGI ALPHAXARD LUGOLA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AKAUNTI HALALI ZA INSTAGRAM NA TWITTER ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANGI ALPHAXARD LUGOLA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AKAUNTI HALALI ZA INSTAGRAM NA TWITTER ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANGI ALPHAXARD LUGOLA
link : AKAUNTI HALALI ZA INSTAGRAM NA TWITTER ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANGI ALPHAXARD LUGOLA

soma pia


AKAUNTI HALALI ZA INSTAGRAM NA TWITTER ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANGI ALPHAXARD LUGOLA

Baada ya kuwepo kwa akaunti feki ya Mtandao wa Kijamii wa Instagram ambao ulikua unatoa taarifa mbalimbali kwa jamii kuhusu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Wizara kwa ujumla, kuanzia leo Disemba 30, 2018, Wizara inatangaza rasmi kwa jamii, akaunti halali zilizosajiliwa kwa jina la Mheshimiwa Waziri Kangi Lugola, kama ifuatavyo; 
 officialkangi_lugola (Instagram) 
@kangi_lugola (Twitter) 

 Taarifa zote zitakazotolewa katika kurasa za akaunti hizi zitakua sahihi. 
Kwa hatua hiyo, Wizara inaendelea kutoa onyo kali kwa mtu yeyote atakayejihusisha kwa kutumia jina la Kangi Lugola kusajili akaunti yoyote na kutoa taarifa za Waziri huyo kupitia akaunti feki hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake. 

 Aidha, Wizara inawaomba Watanzania waendelee kupata taarifa zake zaidi kupitia tovuti yenye anuani; www.moha.go.tz na twitter ya Wizara kwa akaunti ya Msemaji Mambo ya Ndani. 

 Imetolewa na: 
 Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali 
 Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala AKAUNTI HALALI ZA INSTAGRAM NA TWITTER ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANGI ALPHAXARD LUGOLA

yaani makala yote AKAUNTI HALALI ZA INSTAGRAM NA TWITTER ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANGI ALPHAXARD LUGOLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AKAUNTI HALALI ZA INSTAGRAM NA TWITTER ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANGI ALPHAXARD LUGOLA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/akaunti-halali-za-instagram-na-twitter.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AKAUNTI HALALI ZA INSTAGRAM NA TWITTER ZA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANGI ALPHAXARD LUGOLA"

Post a Comment

Loading...