Loading...
title : RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WENYE VIWANDA YA SHARJAH IKULU LEO
link : RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WENYE VIWANDA YA SHARJAH IKULU LEO
RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WENYE VIWANDA YA SHARJAH IKULU LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Wenye Viwanda ambae pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Rawabi ya Sharja Bw.Abdallah Sultan Owais, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar Ikulu leo,akiwa na Ujumbe wake kulia Sheikh.Majid Faisal Khalid Al.Qasemi Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo.(Picha na Ikulu)
//RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti w a Jumuiya ya Wafanyabiashara Wenye Viwanda ya Sharjah,ambae pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Rawabi, Bw.Abdallah Sultan Owais, wakiwa nje ya ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar,7-12-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Wenye Viwanja Sharjah ambae pia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Rawabi Bw.Abdallah Sultan Owais, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, leo 7-12-2018.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WENYE VIWANDA YA SHARJAH IKULU LEO
yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WENYE VIWANDA YA SHARJAH IKULU LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WENYE VIWANDA YA SHARJAH IKULU LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rais-dkt-shein-azungumza-na-mwenyekiti_7.html
0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WENYE VIWANDA YA SHARJAH IKULU LEO"
Post a Comment