Loading...

Rais Magufuli Atangaza Msamaha Kwa Wafungwa 4,477

Loading...
Rais Magufuli Atangaza Msamaha Kwa Wafungwa 4,477 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Atangaza Msamaha Kwa Wafungwa 4,477, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli Atangaza Msamaha Kwa Wafungwa 4,477
link : Rais Magufuli Atangaza Msamaha Kwa Wafungwa 4,477

soma pia


Rais Magufuli Atangaza Msamaha Kwa Wafungwa 4,477

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, Dkt. John Magufuli ametoa salamu za Kumbukumbu ya Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania Bara, leo Ijumaa, Desemba 7, 2018 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Akituma salam hizo, Rais Magufuli kwa mujibu wa Ibara ya 45 Ibara ndogo ya 1 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza msamaha kwa wafungwa 4,477 waliyokuwa wamefungwa / kuhukumiwa kwenye magereza mbalimbali nchini ambapo  kati yao 1,176 wataachiwa Desemba 9, 2018 katika Sikukuu ya Uhuru.

“Wafungwa 1,076 watatoka siku ya Maadhimisho ya Uhuru yani December 9, 2018, msamaha huu utawahusu Wafungwa Wagonjwa, Wazee kuanzia miaka sabini na zaidi, Wafungwa wakike walioingia Gerezani wakiwa Wajawazito”

“Nimeamua Wafungwa waliotumikia robo ya adhabu zao wapunguziwe robo ya adhabu zao baada ya punguzo la kawaida la theluthi moja” -Rais Magufuli

“Msamaha hautawahusu Wafungwa wanaotumikia baadhi ya adhabu zikiwemo Kunyongwa, Kifungo cha maisha, biashara ya Dawa za kulevya, biashara za Binadamu, kukutwa na viungo vya Binadamu, Walionajisi, Waliowapa mimba Wanafunzi” -Rais Magufuli


Hivyo makala Rais Magufuli Atangaza Msamaha Kwa Wafungwa 4,477

yaani makala yote Rais Magufuli Atangaza Msamaha Kwa Wafungwa 4,477 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Atangaza Msamaha Kwa Wafungwa 4,477 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rais-magufuli-atangaza-msamaha-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli Atangaza Msamaha Kwa Wafungwa 4,477"

Post a Comment

Loading...