Loading...

RC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara

Loading...
RC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara
link : RC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara

soma pia


RC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila

Na Mwandishi Wetu, Mbeya

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewataka wamachinga mkoani humu kujiendeleza na kuwa wafanyabiashara badala ya kupenda kuendelea kuwa wamachinga. Chalamila ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na HabariLeo kutolea ufafanuzi uamuzi wake wa kuwataka wamachinga waondoke kwenye maeneo yasiyokuwa rasmi.

Aliwataka wamachinga hao kutambua kuwa umachinga wao unapaswa kuwa kwa miaka mitatu na zaidi ya hapo wanapaswa kuanza kulipa kodi zote stahiki. 

Alisema.“Kuna mijadala inaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuwa nimewafukuza wamachinga mkoani kwangu sasa swali ni kuwa kama wao ni wapangaji unawafukuzaje, maana wanasema wamachinga wamefukuzwa, 

Ni vema wakafahamu kuwa umachinga haupaswi kuwa sifa ya kudumu, machinga sahihi inatakiwa uwe mabadiliko ya kuelekea kuwa mfanyabiashara wa kati katika eneo moja tulivu katika maduka.“ 

Pia Mkuu huyo wa Mkoa aliitaka ofisi ya Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoani humo kufuatilia ukuaji wa biashara za wamachinga hao ikiwa ni pamoja na kuwapatia elimu ya maarifa na ujuzi za biashara. 

Lakini pia alisisitiza kuwa anawapenda na anata kuona wananufaika na hivyo katika kutimiza adhma hiyo aliwataka kuwa na Saccos ya pamoja itakayowasaidia kupata mikopo kwa bei nafuu na hivyo kujipatia faida.

Alisema“Rais Dk John Magufuli anawapenda Machinga wote nchin, na amekuwa akitutaka viongozi kutowabughudhii na hivyo siye mkoani hapa tunaendelea kuzingatia maelekezo ya Mh Rais kwa utaratibu maalumu"

Aliwataka, wamachinga wote kutumia vema misamaha ya rais yenye nia njema kwa kufuata utaratibu na kukua katika biashara.

“Tuwafundihse Machinga kulipa kodi hata kama ni kidogo, ili kesho wakiwa wafanyabiashara wa Kati au wakubwa wawe tayari wamejenga utamaduni wa kulipa kodi kwa hiari" alisema Rc Chalamila.


Hivyo makala RC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara

yaani makala yote RC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rc-chalamila-awataka-wamachinga-mkoani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC Chalamila awataka wamachinga mkoani Mbeya kujiendeleza kibiashara"

Post a Comment

Loading...