Loading...
title : VODACOM TANZANIA PLC YAFANIKISHA NDOTO ZA WANAWAKE KUPITIA M-PESA
link : VODACOM TANZANIA PLC YAFANIKISHA NDOTO ZA WANAWAKE KUPITIA M-PESA
VODACOM TANZANIA PLC YAFANIKISHA NDOTO ZA WANAWAKE KUPITIA M-PESA
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, Hawa Hamis (kushoto)akimwelewesha jambo Mwanakomba Shabani,Kuhusiana na huduma ya M-Pesa wakati wa mkutano wa akina mama uliojulikana kama"Atukuzamu Women of Conference" uliofanyika jijini Dar es Salaam kwa Udhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC.
Meneja wa kitengo cha M-PESA wa Vodacom Tanzania PLC,Noel Mazoya (kushoto) akiongea na wanawake wajarisiliamali kuhusiana na huduma M-Pesa inayotolewa na kampuni hiyo wakati wa Kongamona la wanawake la"Atukuzamu Women of Conference"uliofanyika katika ukumbi wa City Christian Center( CCC) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC,Anayeshuhudia kulia ni mshereheshaji wa mkutano huo,Jimmy Byamungo.
Hivyo makala VODACOM TANZANIA PLC YAFANIKISHA NDOTO ZA WANAWAKE KUPITIA M-PESA
yaani makala yote VODACOM TANZANIA PLC YAFANIKISHA NDOTO ZA WANAWAKE KUPITIA M-PESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM TANZANIA PLC YAFANIKISHA NDOTO ZA WANAWAKE KUPITIA M-PESA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/vodacom-tanzania-plc-yafanikisha-ndoto.html
0 Response to "VODACOM TANZANIA PLC YAFANIKISHA NDOTO ZA WANAWAKE KUPITIA M-PESA"
Post a Comment