Loading...

RC Wangabo atoa tahadhari ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kalambo

Loading...
RC Wangabo atoa tahadhari ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kalambo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC Wangabo atoa tahadhari ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kalambo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC Wangabo atoa tahadhari ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kalambo
link : RC Wangabo atoa tahadhari ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kalambo

soma pia


RC Wangabo atoa tahadhari ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kalambo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa tahadhari kwa uongozi wa wilaya ya Kalambo juu ya matumizi na ubora wa hospitali inayotarajiwa kujengwa katika wilaya hiyo ili kusijirudie makosa yaliyofanyika wakati wa ujenzi wa vituo vya afya vinavyoendelea ikiwemo kuchelewesha malipo kwa mfundi pamoja na kuachana na mafundi wasumbufu wanaochelewesha ujenzi.

Akitolea mfano wa ujenzi wa kituo cha afya cha Legeza Mwendo kilichopewa Shilingi milioni 700 na hatimae kufanikiwa kujenga majengo tisa, hivyo kumtaka Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kwa usimamizi wa mkuu wa Wilaya hiyo kuhakikisha wanazitumia vyema Shilingi bilioni 1.85, fedha ambazo zimetengwa na serikali kwaajili ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya.

“Utoaji wa fedha ofisi yako Mkurugenzi mmekuwa mnasuasua, malipo mnasingizia sijui mifumo mifumo, watu hawalipwi kule (kituo cha afya) Mwimbi imekuwa tabu karibu mwaka mzima, hata kule (kituo cha Afya) Legeza mwendo ilikuwa hivyo hivyo, nisingependa hili litokee, malipo lazima yaende vizuri, hata wale mama lishe walikuwa wanadai hawalipwi,” Alisisitiza.

Alisema kuwa kutokana na fedha hiyo iliyotengwa angependa kuona majengo mazuri yenye viwango ili kuupendezesha mji wa Matai ambao ni makao makuu ya wilaya hiyo.


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala RC Wangabo atoa tahadhari ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kalambo

yaani makala yote RC Wangabo atoa tahadhari ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kalambo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC Wangabo atoa tahadhari ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kalambo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rc-wangabo-atoa-tahadhari-ujenzi-wa_19.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC Wangabo atoa tahadhari ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kalambo"

Post a Comment

Loading...