Loading...

SAKATA LA RC HAPI, KATIBU WA BAVICHA MATATANI.

Loading...
SAKATA LA RC HAPI, KATIBU WA BAVICHA MATATANI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SAKATA LA RC HAPI, KATIBU WA BAVICHA MATATANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SAKATA LA RC HAPI, KATIBU WA BAVICHA MATATANI.
link : SAKATA LA RC HAPI, KATIBU WA BAVICHA MATATANI.

soma pia


SAKATA LA RC HAPI, KATIBU WA BAVICHA MATATANI.
















 Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la polisi mkoani humo kufanya uchunguzi juu ya tuhuma zilizosambaa mtandaoni zikimuhusisha na imani za kishirikina.

Hapi amesema hadi leo Ijumaa Desemba 21, 2018 jeshi la polisi limegundua aliyetunga uzushi huo ni Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) wilaya ya Temeke, Hilda Newton.

“Nimeagiza popote alipo huyo katibu wa Bavicha akamatwe atoe maelezo ya alichokizusha mtandaoni na athibitishe alichokiandika," amesema Hapi.

Hapi amesema amepitia akaunti ya Hilda Newton na kugundua ni tabia yake kuzusha vitu vya uongo mtandaoni.

Amesema kumtaja kwa kimo chake hajaona kama ni udhalilishaji bali alitofautisha watu waliokuwa katika picha hiyo.

"Nimemtaja kuwa ni mfupi na kweli ni mfupi ukilinganisha na mtu aliyekuwa amesimama naye katika picha niliyoiposti kumtaka akajisalimishe."

Awali baada ya kutakiwa kujisalimisha, Hilda alinukuliwa akisema kwamba hatokwenda polisi kujisalimisha kama alivyotakiwa na Hapi.



Hivyo makala SAKATA LA RC HAPI, KATIBU WA BAVICHA MATATANI.

yaani makala yote SAKATA LA RC HAPI, KATIBU WA BAVICHA MATATANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SAKATA LA RC HAPI, KATIBU WA BAVICHA MATATANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/sakata-la-rc-hapi-katibu-wa-bavicha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SAKATA LA RC HAPI, KATIBU WA BAVICHA MATATANI."

Post a Comment

Loading...