Loading...
title : Serikali Yaipongeza MUWSA kwa kuwa Mamlaka Bora ya Maji Mashariki na Kusini mwa Afrika
link : Serikali Yaipongeza MUWSA kwa kuwa Mamlaka Bora ya Maji Mashariki na Kusini mwa Afrika
Serikali Yaipongeza MUWSA kwa kuwa Mamlaka Bora ya Maji Mashariki na Kusini mwa Afrika
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof.Kitila Mkumbo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kuipongeza Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi kuwa Mamlaka bora ya maji Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika leo Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo Joyce Msiru.
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof.Kitila Mkumbo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuipongeza Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi kuwa Mamlaka bora ya maji Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika leo Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo Joyce Msiru.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi Joyce Msiru (Kushoto) akizungumza mara baada ya kupokea pongezi za Serikali kwa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi kuwa Mamlaka bora ya maji Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika leo jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo. (Picha na: Shamimu Nyaki - WHUSM)
Hivyo makala Serikali Yaipongeza MUWSA kwa kuwa Mamlaka Bora ya Maji Mashariki na Kusini mwa Afrika
yaani makala yote Serikali Yaipongeza MUWSA kwa kuwa Mamlaka Bora ya Maji Mashariki na Kusini mwa Afrika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Serikali Yaipongeza MUWSA kwa kuwa Mamlaka Bora ya Maji Mashariki na Kusini mwa Afrika mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/serikali-yaipongeza-muwsa-kwa-kuwa.html
0 Response to "Serikali Yaipongeza MUWSA kwa kuwa Mamlaka Bora ya Maji Mashariki na Kusini mwa Afrika"
Post a Comment