Loading...
title : SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA NCHINI NAMIBIA
link : SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA NCHINI NAMIBIA
SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA NCHINI NAMIBIA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na mgeni wake kutoka Nchini Namibia Ndugu Desmond Amunyela aliyemtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.mgeni huyo alieleza kusudio la Namibia la kujenga Kituo cha Kimataifa Wilayani Kongwa cha Kumbukumbu ya Kupigania uhuru wa Nchi za Kusini mwa Afrika.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa mgeni wake kutoka Nchini Namibia Ndugu Desmond Amunyela aliyemtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.mgeni huyo alieleza kusudio la Namibia la kujenga Kituo cha Kimataifa Wilayani Kongwa cha Kumbukumbu ya Kupigania uhuru wa Nchi za Kusini mwa Afrika.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akionyeshwa mchoro wa Kituo cha Kimataifa kitakachojengwa Wilayani Kongwa cha Kumbukumbu ya Kupigania uhuru wa Nchi za Kusini mwa Afrika kutoka kwa Ndugu Desmond Amunyela aliyemtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma aliyembatana na Ndugu Iyaloo ya Nangolo wote wakitokea Nchini Namibia.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwaonyesha Ukumbi wa Bunge la Tanzania waeni wake kutoka Nchini Namibia Ndugu Desmond Amunyela na Ndugu Iyaloo ya Nangolo mara baada ya kumtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.wageni hao walieleza kusudio la Namibia la kujenga Kituo cha Kimataifa Wilayani Kongwa cha Kumbukumbu ya Kupigania uhuru wa Nchi za Kusini mwa Afrika.
Hivyo makala SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA NCHINI NAMIBIA
yaani makala yote SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA NCHINI NAMIBIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA NCHINI NAMIBIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/spika-wa-bunge-atembelewa-na-wageni.html
0 Response to "SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA NCHINI NAMIBIA"
Post a Comment