Loading...

Sheria : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar

Loading...
Sheria : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Sheria : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Sheria : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar
link : Sheria : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar

soma pia

Sheria : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waheshimia Majaji wa Mahakama Kuu Zanzibar wakati akiwasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi kikwajuni Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waheshimiwa wa meza kuu wakisamama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wakati wa hafla hiyo ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni.

BAADHI ya wageni waalikwa katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo, katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.

BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar wakishiriki Siku ya Sheria Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hadhara hiyo

BAADHI ya wananchi na wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia hafla hiyo

BAADHI ya Wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.

KIKUNDI cha Sanaa cha Makombora Black Root wakionesha mchezo wa kuigiza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar

RAIS wa Chama cha Mawakili Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.

NAIBU Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Muumin Khamis Omar, akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.

JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omat Othman Makungu akitowa maelezo ya utekelezaji wa Mahakama Zanzibar wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Vitabu vya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,katika picha ya pampja baada ya kuhitimisha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar. Picha na Ikulu

Hivyo makala Sheria : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar

yaani makala yote Sheria : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Sheria : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/sheria-rais-wa-zanzibar-dk-shein.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Sheria : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahutubia Siku ya Sheria Zanzibar"

Post a Comment

Loading...