Loading...
title : TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA VIWANDA AFRIKA,VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MAZOA BADO KITENDAWILI.
link : TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA VIWANDA AFRIKA,VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MAZOA BADO KITENDAWILI.
TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA VIWANDA AFRIKA,VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MAZOA BADO KITENDAWILI.
Na John Luhende
Tanzania na imeungana na nchi nyingine za kiafrika katika maadhimisho ya siku ya viwanda Afrika ,kwa kuwakutanisha wenyeviwanda na wazalishaji wa bidhaa za viwandani hapanchi.
Akizungumza katika maadhimisho hayo Mkurugenzi msaidi idaraya maendeleo ya viwanda Wizara ya viwanda biashara na uwekezaji Mhandisi Eli Paranjo , amesema Tanzania imedhamiria kwa dhati kujenga uchumi wa viwanda na wameungana na nchinyingine kusisitiza juu ya umuhimu wa viwanda kwa kuwa hauna maendeleo bila viwanda na vinaongeza pato la nchi.
Amesema viwanda vinasaidia kuongeza thamani ya malighafi ya mazao na madini na kuongeza mapato ya serikali , kuongeza ajira na kuondoa umasikini , siku hii ilianzishwa na Umoja wa mataifa kwa kutumia shirika la UNIDO ilikusaidia nchi za Afrika ambazo hazijaendelea ili kuzihamasisha kujenga uchimi wa viwanda .
Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Pombe Magufuli imeweka nguvu kubwa katika ktekeleza sera ya ya Maendeleo endelevu ya Viwanda (1996 -2020) awamu ya tatu inayo tekelezwa kwa kipindi cha 2010 -2020 ambayo inatekelezwa kwa mkakati unganishi wa maendeleo ya Viwanda na mpango wa pili wa maendeleo ya miaka mitano 2016/17 -2020/21 moja ya malengo ya awamu hiyo ambapo ni kuiwezesha sekta ya Viwanda kuleta mabadiliko ya uchumi ili kuiwezesha nchi kufikia uchumi wa kati.
Naye makamu mwenyekiti wa wa shirikisho la wenye viwanda nchini CTI , Shubiza Bell ,ameshukuru UNIDO na TANTRADE kwa kuwakutanisha katika siku hii na kuiomba serikali kufanyia kazi makubaliao waliofikia kuhusu taratibu za tozo kwa taasisi zake ili viwanda vyao viweze kuendelea na kujiendesha kwa faida tofauti na ilivyo hivisasa ambapo tozo zimekuwa nyingi ukiondoa kodi ya serikali.
Hivyo makala TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA VIWANDA AFRIKA,VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MAZOA BADO KITENDAWILI.
yaani makala yote TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA VIWANDA AFRIKA,VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MAZOA BADO KITENDAWILI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA VIWANDA AFRIKA,VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MAZOA BADO KITENDAWILI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/tanzania-yaadhimisha-siku-ya-viwanda.html
0 Response to "TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA VIWANDA AFRIKA,VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MAZOA BADO KITENDAWILI."
Post a Comment