Loading...

UJUMBE WA MBOWE KUTOKA GEREZANI HUU HAPA.

Loading...
UJUMBE WA MBOWE KUTOKA GEREZANI HUU HAPA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJUMBE WA MBOWE KUTOKA GEREZANI HUU HAPA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJUMBE WA MBOWE KUTOKA GEREZANI HUU HAPA.
link : UJUMBE WA MBOWE KUTOKA GEREZANI HUU HAPA.

soma pia


UJUMBE WA MBOWE KUTOKA GEREZANI HUU HAPA.


 Image result for PICHA ZA MBOWE

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, amewataka wafuasi wake wasihuzunike na hatua ya yeye kuwekwa rumande kwa madai ya kutopatiwa dhamana bali watumie nafasi hiyo kuombea tume huru ya uchaguzi.

Kauli hiyo ya Mbowe imetolewa Jijini Dar es salaam na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho bara na mbunge wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea siku ya kusikilizwa rufaa ya kupata au kutopata dhamana kwa viongozi hao wawili.

"Mwenyekiti amesisitiza sana, kutomlilia yeye bali walilie taifa letu kutafuta mabadiliko, kudai tume huru ya uchaguzi, kwa sababu kesi hii msingi wake ni uchaguzi uliosababisha kifo cha Mwanafunzi wa NIT, Akwilina kwa hiyo naomba wajitokeze kwa waingi kesho," amesema Mnyika.

Wakati huohuo Mnyika amebainisha kuwa chama hicho kupitia mawakili wake kimewasilisha maombi ya kuiomba mahakama kutoa kipaumbele kwa kesi dhdi ya viongozi wake kabla ya mahakama hiyo haijaenda likizo.

Mbowe na Matiko wako mahabusu baada ya kufutiwa dhamana kwenye kesi yao ya msingi inayowakabili juu ya kusababisha kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa NIT, Akwilina Akwilini ambapo walifutiwa dhamana hiyo kwa madai ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.


Hivyo makala UJUMBE WA MBOWE KUTOKA GEREZANI HUU HAPA.

yaani makala yote UJUMBE WA MBOWE KUTOKA GEREZANI HUU HAPA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE WA MBOWE KUTOKA GEREZANI HUU HAPA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/ujumbe-wa-mbowe-kutoka-gerezani-huu-hapa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJUMBE WA MBOWE KUTOKA GEREZANI HUU HAPA."

Post a Comment

Loading...