Loading...

ULEGA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO MALALAMIKO YA WAFUGAJI KATIKA MKOA WA MOROGORO

Loading...
ULEGA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO MALALAMIKO YA WAFUGAJI KATIKA MKOA WA MOROGORO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ULEGA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO MALALAMIKO YA WAFUGAJI KATIKA MKOA WA MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ULEGA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO MALALAMIKO YA WAFUGAJI KATIKA MKOA WA MOROGORO
link : ULEGA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO MALALAMIKO YA WAFUGAJI KATIKA MKOA WA MOROGORO

soma pia


ULEGA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO MALALAMIKO YA WAFUGAJI KATIKA MKOA WA MOROGORO


Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamii

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amefanya ziara mkoani Morogoro katika Wilaya za Kilombero na Malinyi ili kutatua migogoro na malalamiko ya wafugaji.

 Katika Wilaya za Kilombero na Malinyi  Ulega aliwataka wafugaji waliopo katika bonde la mto Kilombero kuondoka na kwenda kwenye maeneo waliyotengewa ili kuepusha madhara kwa mto huo ambao ndiyo chanzo muhimu cha maji ya mto Rufiji. 

Ulega alisema wafugaji hao wanapeleka mifugo hiyo bonde la mto Kilombero kufuata maji na kuagiza Halmashauri za Kilombero na Malinyi kutengeneza mabirika ya kunyweshea maji mifugo ili wafugaji wasiende kufuata maji katika bonde hilo. Aidha, aliwataka TAWA kushirikiana na Halmashauri za Kilombero na Malinyi kutengeza mabirika hayo ambapo moja ni takribani Sh. milioni 20 (birika milioni 5 na kisima Sh.milioni 15).

Pia wafugaji wa maeneo hayo walikiri kutokwenda bonde la mto Kilombero wakitengenezewa miundombinu ya mifugo hasa maji katika maeneo yao.
Ulega amesisitiza umuhimu wa kutunzwa maeneo hayo oevu ili kutunza mto Kilombero kwa lengo la kuendelee kupata maji mengi katika mto Rufiji itakayosaidia kufanikisha agenda ya Rais Dkt. John Magufuli ya mradi wa Stieglers Gorge.

Aidha,  Ulega aliwaagiza Wakala wa Mafunzo na Elimu ya Mifugo (LITA) kuandaa mafunzo ya mda mfupi kwa ajili ya wafugaji hao ili waweze kufuga kisasa wawe na mifugo wenye tija. Pia, aliwataka Serikali ya kijiji kuheshimu mipango ya matumizi bora ya ardhi iliyopo ili kuepusha migogoro.
 Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega(wambele)akiwa ameambatana na viongozi wa wilaya Malinyi mkoa wa Morogoro wakati wakiwasili kwenye kijiji cha Ngombo,wakati wa ziara yake ya kuzisikiliza kero migogoro mbalimbali ya wafungaji,wavuvi na kuzitafutia ufumbuzi.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ngombo wilaya ya Malinyi mkoa wa Morogoro,katika mkutano wa hadhara wa  kusikiliza kero mbalimbali za wafugaji,wavuvi  na kuzitatua.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega wapili (kushoto) akiwa ameambatana na viongozi wa wilaya Malinyi mkoa wa Morogoro wakiwasili katika kijiji cha Ngombo kwenye ziara yake ya kuzisikiliza kero na migogoro mbalimbali ya wafungaji,wafungaji na kuzitatua.



Hivyo makala ULEGA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO MALALAMIKO YA WAFUGAJI KATIKA MKOA WA MOROGORO

yaani makala yote ULEGA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO MALALAMIKO YA WAFUGAJI KATIKA MKOA WA MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ULEGA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO MALALAMIKO YA WAFUGAJI KATIKA MKOA WA MOROGORO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/ulega-aendelea-kutatua-migogoro.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ULEGA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO MALALAMIKO YA WAFUGAJI KATIKA MKOA WA MOROGORO"

Post a Comment

Loading...