Loading...

Umoja wa vijana waunga mkono juhudi za maendeleo za Rais Dk. John Magufuli

Loading...
Umoja wa vijana waunga mkono juhudi za maendeleo za Rais Dk. John Magufuli - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Umoja wa vijana waunga mkono juhudi za maendeleo za Rais Dk. John Magufuli, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Umoja wa vijana waunga mkono juhudi za maendeleo za Rais Dk. John Magufuli
link : Umoja wa vijana waunga mkono juhudi za maendeleo za Rais Dk. John Magufuli

soma pia


Umoja wa vijana waunga mkono juhudi za maendeleo za Rais Dk. John Magufuli


Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu cha Rais Dkt.John Magufuli kumekuwa maendeleo ya kuifanya Tanzania kufikia uchumi wa kati kwa miundombinu mbalimbali.

Akizungumza na waandishi Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama hicho Raymond Mwangwala amesema tunakwenda katika uchumi wa kujitegemea zaidi.

Amesema kwa sasa ndege tano ambapo ni faida kwa watanzania kupata maendeleo kwa kuingia katika biashara ya usafiri wa anga.Mwangwala amesema sasa ni mapigano ya uchumi hivyo Umoja utamlinda katika kwenda na uchumi huo kwa kasi.

Amesema ndege iliokuja ni ya kwanza kwa nchi za Afrika hivyo kila mtanzania anatakiwa kupongeza Rais Dkt.John Pombe Magufuli.Ametaja miradi mikubwa ambayo inafanywa na serikali ya awamu ya tano ikiwa mradi mmoja umeshakamilika na miradi mingine ni Ubungo, Salender na Mradi wa Reli ya Kisasa SGR.

Amesema kuwa Demokrsia iliyopo lazima kuwa na mipaka hivyo kila mtu lazima kufuata sheria katika kuitumia Demokrsia hiyo pamoja na kumsaidia Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Aidha amesema baadhi ya vijana wanatumika na mataifa ya nje na kusahau uzalendo wa nchi."Vijana wa CCM tutakuwa wa kwanza kumlinda Rais Wetu ili kuweza kufikia uchumi wa kati"
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Raymond Mwangwala akizungumza na waandishi habari kuhusiana na kupongeza Rais Dkt.John Pombe Magufuli katika maendeleo mbalimbali yaliyotokea katika kipindi cha miaka mitatu, leo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala Umoja wa vijana waunga mkono juhudi za maendeleo za Rais Dk. John Magufuli

yaani makala yote Umoja wa vijana waunga mkono juhudi za maendeleo za Rais Dk. John Magufuli Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Umoja wa vijana waunga mkono juhudi za maendeleo za Rais Dk. John Magufuli mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/umoja-wa-vijana-waunga-mkono-juhudi-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Umoja wa vijana waunga mkono juhudi za maendeleo za Rais Dk. John Magufuli"

Post a Comment

Loading...