Loading...

WADAU WA JINSIA WAKUTANA MJINI MOROGORO KUFANYA MAPITIO SERA YA TAIFA YA JINSIA

Loading...
WADAU WA JINSIA WAKUTANA MJINI MOROGORO KUFANYA MAPITIO SERA YA TAIFA YA JINSIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU WA JINSIA WAKUTANA MJINI MOROGORO KUFANYA MAPITIO SERA YA TAIFA YA JINSIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU WA JINSIA WAKUTANA MJINI MOROGORO KUFANYA MAPITIO SERA YA TAIFA YA JINSIA
link : WADAU WA JINSIA WAKUTANA MJINI MOROGORO KUFANYA MAPITIO SERA YA TAIFA YA JINSIA

soma pia


WADAU WA JINSIA WAKUTANA MJINI MOROGORO KUFANYA MAPITIO SERA YA TAIFA YA JINSIA

Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii inakutana na wadau wa masuala ya Jinsia kujadiliana na kufanya mapitio ya sera ya Taifa ya Jinsia ili pamoja na mambo mengine iweze kuwa na masuala ya wanawake waishio vijijini lakini pia kuzingatia makundi mengine maalumu hususani vijana na watu wenye mahitaji maalum.

Akiongea wakati wakufungua kikao kazi na wadau wa sera ya jinsia kutoka Wizara za serikali na mashirika yasiyo ya Kiserikali Kaimu Mkurugenzi wa Jinsia kutoka Wizara ya Afya Idara kuu Maendeleo ya Jamii Bi Grace Mbwilo amewataka wadau hao kufanya mapitio ya sera hiyo lakini pia kuangalia namna bora ya kutatua changamoto zinazomkabili mwanamke wa kijijini.

Aidha Bi. Mbwiro pia amewataka wadau hao kuangalia masuala mengine katika jamii akisema ni mengi mno hivyo kuzingatia vipaumbele vya masuala ya jinsia kwa wanawake  akisema kundi hilo katika jamii bado linachangamoto ambazo zinalifanya kuendelea kubaki katika nyanja tofauti.
 Kaimu Mkurugenzi Idara ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Bi Grace Mbwilo katikati akiongea na wadau mbalimbali wa masuala ya Jinsia wakati wa  kujadiliana na kufanya mapitio ya sera ya Taifa ya Jinsia leo Mkoani Morogoro.
 Wadau mbalimbali wa masuala ya Jinsia wakati wa  kujadiliana na kufanya mapitio ya sera ya Jinsia katika kikao  kikazi cha wadau wadau wa Jinsia kinachoratibiwa na Wizara ya Afya Idara Kuu Maeandeleo ya Jamii leo Mkoani Morogoro.
 Wadau mbalimbali wa masuala ya Jinsia wakati wa  kujadiliana na kufanya mapitio ya sera ya Jinsia katika kikao  kikazi cha wadau wadau wa Jinsia kinachoratibiwa na Wizara ya Afya Idara Kuu Maeandeleo ya Jamii leo Mkoani Morogoro.
Baadhi ya wadau mbalimbali wa masuala ya Jinsia wakati wa  kujadiliana na kufanya mapitio ya sera ya Jinsia katika kikao  kikazi cha wadau wadau wa Jinsia kinachoratibiwa na Wizara ya Afya Idara Kuu Maeandeleo ya Jamii leo Mkoani Morogoro.

 KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WADAU WA JINSIA WAKUTANA MJINI MOROGORO KUFANYA MAPITIO SERA YA TAIFA YA JINSIA

yaani makala yote WADAU WA JINSIA WAKUTANA MJINI MOROGORO KUFANYA MAPITIO SERA YA TAIFA YA JINSIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA JINSIA WAKUTANA MJINI MOROGORO KUFANYA MAPITIO SERA YA TAIFA YA JINSIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/wadau-wa-jinsia-wakutana-mjini-morogoro.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WADAU WA JINSIA WAKUTANA MJINI MOROGORO KUFANYA MAPITIO SERA YA TAIFA YA JINSIA"

Post a Comment

Loading...