Loading...
title : WAKILI MWAE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 5 AU KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 200
link : WAKILI MWAE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 5 AU KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 200
WAKILI MWAE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 5 AU KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 200
NaVero Ignatus ,Arusha
Hukumu ya kesi ya utakatishaji fedha haramu iliyokuwa inamkabili wakili maafuru Jijini Arusha Mediam Mwale imetolewa desema 3 na Jaji Isa Maige wa Mahakama kuu kanda ya Arusha ambapo amemuhukumu kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 200
Mshtakiwa analazimika kulipa faini na kama akishindwa atatumikia kifungo cha miaka mitano na kwa kipindi ambapo atakuwa hajakidhi matakwa ya adhabu hiyo atabaki kizuizini
Jaji Isa ameiambia mahakama kuwa mshitakiwa Mediam Mwale amekiri makosa kwa hiari yake mwenyewe na kwamba hiyo ni dalili tosha ya kuwa ameungama na anajutia makosa na kukiri kwake kuna faida mbili katika mfumo mzima wa haki jinai mshtakiwa ameokoa muda na rasilimali za mahakama
Ameiambia mahakama kuwa kukiri kwa mshtakiwa wakwanza kumeondoa uwezekano kukwepa kwa njia za kiufundi hayo ameyazingatia kwani mshtakiwa ni kosa lake la kwanza siyo mkosaji sugu asiyeweza kurekebishika, kuungama kwake kunaonyesha kuwa yupo tayari kujirekebisha
''kwa minajili hiyo muelekeo wa wa kujirekebisha ni hatua stahiki katika kutoa adhabu hiyo''''Mshtakiwa amekuwa kizuizini kwa zaidi ya miaka saba tangia alipokamatwa kama mambo yote yangeenda katika hali ya kawaida si ajabu kwamba mshtakiwa wa kwanza angelikuwa ameshahukumiwa na kutuikia kifungo cha zaidi ya miaka saba'' alisema Jaji Maiga
Akisoma hukumu hiyo Jaji Issa Maige Mahakama kuu kanda ya Arusha adhabu makosa 30 yanaomkabili mshatakiwa wa kwanza ambayo ni makosa ya kughushi kinyume na kifungu namba 337 kwa ambapo adhabu yake kifungo cha miaka 5 kwa kila kosa ,kughushi kinyume na kifungu namba 338 adhabu yake miaka 7
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>

Hivyo makala WAKILI MWAE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 5 AU KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 200
yaani makala yote WAKILI MWAE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 5 AU KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 200 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKILI MWAE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 5 AU KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 200 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/wakili-mwae-ahukumiwa-kwenda-jela-miaka.html
0 Response to "WAKILI MWAE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 5 AU KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 200"
Post a Comment