Loading...

MICHAEL WAMBURA ARIPOTI TFF NA BARUA YA MAHAKAMA

Loading...
MICHAEL WAMBURA ARIPOTI TFF NA BARUA YA MAHAKAMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MICHAEL WAMBURA ARIPOTI TFF NA BARUA YA MAHAKAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MICHAEL WAMBURA ARIPOTI TFF NA BARUA YA MAHAKAMA
link : MICHAEL WAMBURA ARIPOTI TFF NA BARUA YA MAHAKAMA

soma pia


MICHAEL WAMBURA ARIPOTI TFF NA BARUA YA MAHAKAMA

Baada ya Mahakama Kuu kumrejesha kwenye nafasi yake ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Michael Wambura Novemba 30, leo amewasili ofisini hapo kuripoti kwa mujibu wa Mahakama Kuu.

Wambura amesema kuwa majukumu yake aliyopewa na Mahakama Kuu ameyatekeleza hivyo kwa sasa yeye ni Makamu wa Rais wa TFF kwa kuwa hakufutwa cheo chake bali alifungiwa kutojihusisha na masuala ya soka. 

"Ofisini wengi nimekuta hawapo zaidi ya mkurugeni wa fedha, na wahudumu wengine wa chini, ila kikubwa nimeweza kutimiza masharti ya Mahakama ambayo kwanza ni kuripoti ofisini, pili naleta taarifa ya mahakama ambayo imepokelewa na nimeweza kufika, kama utekelezaji hautafanyika basi nitarejea mahakamani. 

"30 Novemba nilianza kazi baada ya mahakama kuu ilipotoa maagizo, cha msingi ni kwamba nilikuja kutoa taarifa kwamba mimi nipo, walinisimamisha kujihusisha na soka ila hawakufuta cheo changu cha umakamu wa rais," alisema. 

Machi mwaka huu Kamati ya Maadili ya TFF chini ya mwenyekiti wake, Hamidu Mbwezeleni ilimfungia maisha Wambura kutojihusisha na masuala ya soka kwa kumtuhumu kwa makosa matatu. Katika taarifa yake, TFF ilisema kwamba ilichukuwa hatua hiyo kwa mujibu wa kifungu cha 73(1) (c) cha Kanuni za Maadili ya TFF Toleo la 2013. 



Hivyo makala MICHAEL WAMBURA ARIPOTI TFF NA BARUA YA MAHAKAMA

yaani makala yote MICHAEL WAMBURA ARIPOTI TFF NA BARUA YA MAHAKAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MICHAEL WAMBURA ARIPOTI TFF NA BARUA YA MAHAKAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/michael-wambura-aripoti-tff-na-barua-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MICHAEL WAMBURA ARIPOTI TFF NA BARUA YA MAHAKAMA"

Post a Comment

Loading...