WASHIRIKI MBIO ZA MOROGORO MARATHONI 2018 KUJINYAKULIA MEDALI MBILI MBILI . - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASHIRIKI MBIO ZA MOROGORO MARATHONI 2018 KUJINYAKULIA MEDALI MBILI MBILI ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
WASHIRIKI MBIO ZA MOROGORO MARATHONI 2018 KUJINYAKULIA MEDALI MBILI MBILI .link :
WASHIRIKI MBIO ZA MOROGORO MARATHONI 2018 KUJINYAKULIA MEDALI MBILI MBILI .
WASHIRIKI MBIO ZA MOROGORO MARATHONI 2018 KUJINYAKULIA MEDALI MBILI MBILI .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii .
WAANDAAJI wa Mashindano ya Mbio za Morogoro Marathon 2018 wametangaza kutoa zawadi ya Medali mbili kwa kila mshiriki wa tukio hilo ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa tukio kubwa la kimichezo katika mkoa wa Morogoro.
Waandaaji hao ambao ni taasisi ya Itetet Sports Agency imetangaza zawadi hiyo jana mbele ya waandishi wa habari wakati wa kuzungumzia maandalizi ya Mbio hizo zitakazofanyika kesho alfajiri katika uwanja wa Jamhuri mjini humo
Afisa Mtendaji Mkuu wa Itete Sports Agency ,Antipas Mgungusi alisema mbali na zawadi hizo kwa washiriki pia zipi zawadi kwa washindi wa mbio za Kilometa 21 kwa upande wa wanaume na wanawake ambapo mshindi wa kwanza atapata pesa taslimu kiasi cha sh 400,000 .
“Tuna mbio za Kilometa 21 pamoja na kilometa tano,lakini uwanjani kutakuwa na mbio za kushirikisha watoto kwa maana ya mita 100 na mita 200 ,kwa kilometa 21 mbali na pesa taslimu mshindi pia atapata king’amuzi cha DSTV kutoka kwa wadhamini kampuni ya Multchoice “alisema Mgungusi.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Itete Sports Agency ,Antipas Mgungusi ambao ndio waandaaji wa Mbio za Morogoro Marathon akizungumza na wanahabari kuhusu tukio hilo litakalo fanyika kesho katika uwanja wa Jamhuri ,kushoto kwake ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro Pascal Kihanga,Kaimu Afisa Michezo mkoa wa Morogoro ,Grace Njau na kulia ni Fuhad Hussein ,Meneja wa DSTV mkoa wa Morogoro ambao ndio wadhamini
Medali zilizoandaliwa kwa ajili ya washiriki wa mbio hizo ambazo zitatolewa Mbili kwa kila mshiriki .
Meneja wa DSTV mkoa wa Morogoro ,Fuhad Hussein akizungumza juu ya zawadi za Ving'amuzi zitakazo tolewa kwa washindi wa mbio za Km 21 na Km 5.
Hivyo makala WASHIRIKI MBIO ZA MOROGORO MARATHONI 2018 KUJINYAKULIA MEDALI MBILI MBILI .
yaani makala yote WASHIRIKI MBIO ZA MOROGORO MARATHONI 2018 KUJINYAKULIA MEDALI MBILI MBILI . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASHIRIKI MBIO ZA MOROGORO MARATHONI 2018 KUJINYAKULIA MEDALI MBILI MBILI . mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/washiriki-mbio-za-morogoro-marathoni.html
Related Posts :
WAFANYABIASHARA MNARANI WAKINZANA NA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA KATIKA KODI
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA.
MADUKA ya baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Mnarani, Loliondo, halmashauri ya Mji wa Kibaha, Pwani, yam… Read More...
MAHAKIMU WAANDAMIZI WAPONGEZA ELIMU WALIYOIPATA KUHUSU SHERIA YA FIDIA KWA MFANYAKAZI
Waheshimiwa Mashakimu Wakzi wa Mikoa na Wilaya kutoka Mikoa mitano ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara, wakiwa kwenye… Read More...
MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPTEMBA 7, 2018
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI
… Read More...
KATIBU MKUU UVCCM AWATAMBULISHA WAKUU WA IDARA WAPYA KWA WATUMISHI WA MAKAO MAKUU UVCCM LEO
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala (MNEC) pamoja na wakuu wa Idara wapya wa Umoja wa Vijana… Read More...
Kongamano la Watanzania wanaoishi Marekani chini ya DICOTA lafanyika Seattle
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson M. Masilingi, akizungumza wakati akisoma hotuba kwa n… Read More...
0 Response to "WASHIRIKI MBIO ZA MOROGORO MARATHONI 2018 KUJINYAKULIA MEDALI MBILI MBILI ."
Post a Comment