Loading...

WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE

Loading...
WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE
link : WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE

soma pia


WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE


VICTOR MASANGU, KISARAWE

WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amewaagiza wakurugenzi wote wa halmashauri nchini pamoja na maafisa elimu kuachana kabisa na vitendo vya kuwanyima fursa walimu ambao wanahitaji kujifunza somo la tehema na badala yake wahakikishe wanatoa vibali bila ya kuwa na ukilitimba wowote kwa lengo la kukuza teknolojia na mawasiliano.

Jafo ametoa kauli hiyo wakati wa halfa ya kukabidhi kompyuta 25 ambazo zimetolewa na serikali kupitia mfuko wa mawasilino kwa wote ambapo zitazinufaisha shule za sekondari 14 zilizopo katika halmashauri ya Kisarawe.

Jafo alibainisha kwamba lengo kubwa la serikali ya awamu ya tano ni kuhakikisha inawajengea uwezo walimu ambapo hadi sasa tayari walimu wapatao 570 wameshapatiwa mafunzo maalumu kwa ajili ya somo la tehema ili kuendana na kasi na mabadiliko ya kiteknolojia.

“Kitu kikubwa sisi kama serikali kwa sasa tumejipanga kuhakikisha kwamba somo hili la Tehama kwa walimu linapewa kipaumbele zaidi, lakini sipendi kuona walimu wananyimwa vibali kwa ajili ya kwenda kuongeza ujuzi katika somo hilo hivyo kuanzia sasa ofisi yangu italisimamia hili na kwamba wakurugenzi wote na maafisa elimu msiwanyime vibali kabisa wapeni acheni roho mbaya,”alisema Jafo.



Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za miko na serikali za mitaa (TAMISEMI) kati kati akimkabidhi kompyuta mmoja wa walimu wa shule za sekondari,kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo katika halfa iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za miko na serikali za mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo kati kati akiwa ameshika moja ya kompyuta ambazo zmezitoa kwa niaba ya serikali, kushoto kwake ni Naibu waziri wa uchukuzi na Mawasialiano Injinia Atashasta Nditiye, na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Kisarawe Mussa Gama wa kwanza kulia akishuhudia ugawaji wa kompyuta hizo ambazo zimetolewa na serikali kupitia mfuko wa mawasiliano kwa wote ambapo shule 14 za sekondari zimeweza kunufaika na msaada huo.


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>


Hivyo makala WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE

yaani makala yote WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/waziri-jafo-akabidhi-kompyuta-25-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE"

Post a Comment

Loading...