Loading...

WAZIRI JAFO KUONGOZA UZINDUZI JUKWAA LA WAKULIMA,KUKABIDHI HATI ZA ARDHI ZA KIMILA WILAYANI KISARAWE`

Loading...
WAZIRI JAFO KUONGOZA UZINDUZI JUKWAA LA WAKULIMA,KUKABIDHI HATI ZA ARDHI ZA KIMILA WILAYANI KISARAWE` - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JAFO KUONGOZA UZINDUZI JUKWAA LA WAKULIMA,KUKABIDHI HATI ZA ARDHI ZA KIMILA WILAYANI KISARAWE`, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JAFO KUONGOZA UZINDUZI JUKWAA LA WAKULIMA,KUKABIDHI HATI ZA ARDHI ZA KIMILA WILAYANI KISARAWE`
link : WAZIRI JAFO KUONGOZA UZINDUZI JUKWAA LA WAKULIMA,KUKABIDHI HATI ZA ARDHI ZA KIMILA WILAYANI KISARAWE`

soma pia


WAZIRI JAFO KUONGOZA UZINDUZI JUKWAA LA WAKULIMA,KUKABIDHI HATI ZA ARDHI ZA KIMILA WILAYANI KISARAWE`


Na Dotto Mwaibale, Kisarawe

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleiman Jafo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya uzinduzi wa Jukwaa la Kilimo utakaofanyika Kata ya Kurui wilayani Kisarawe mkoani Pwani.

Katika uzinduzi huo Waziri Jafo ambaye ni kiongozi wa juu wa serikali katika wilaya hiyo atakabidhi hati miliki za kimila za ardhi 315 ambazo zimeandaliwa na Shirika la The Winamwanga Cultural Heritage Association (TWCHA) katika maeneo ya vijiji vya Mafizi, Gwata, Kidugalo, Mtakayo, Zegero na Marui.

Akizungumza katika mkutano wa madiwani na wadau wa maendeleo ya kilimo wakati akitoa taarifa ya kazi zilizofanywa na shirika hilo kwa mwezi Novemba na Desemba 2017 Mratibu wa Mradi wa Kilimo kutoka Taasisi hiyo, Saidi Simkonda alisema waliona ni busara Waziri Jafo awe mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo kwa kuzingatia kuwa yeye ni mwenyeji wa eneo hilo.

"Tayari mchakato wa kumuomba Waziri Jafo kuwa mgeni rasmi tumeufanya tunachosubiri ni majibu yake kwani tunapenda kufanya tukio hilo mwanzoni mwa mwezi wa kwanza mwaka 2019" alisema Simkonda.Alisema mpaka sasa wana wanachama 750 kati ya hao 250 ni walemavu ambao wanamashamba katika kata hizo ambayo yanafanyiwa mchakato wa kupata hati miliki za kimila za ardhi huku 315 zikiwa tayari. 
Ofisa Ardhi wa Shirika la The Winamwanga Cultural Heritage Association (TWCHA) , Ivy Mwansepe, akimkabidhi taarifa ya kazi ya shirika hilo ya mwezi Novemba na Desemba mwaka 2017, Mgeni rasmi, Ofisa Kilimo wa Kata ya Kurui, Baraka Budangi, wakati wa mkutano wa Madiwani na wadau wa kilimo uliofanyika juzi wilayani Kisarawe mkoani Pwani juzi. Kulia ni Mratibu wa kilimo wa shirika hilo, Saidi Simkonda.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Zegero, Abdallah Binda akifungua mkutano huo.
Mkazi wa Kijiji cha Zegero Marcelina Mziray, akichangia jambo kwenye mkutano huo. Kutoka kulia ni Zulfa Tarazo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Wakulima wa Kijiji cha Zegero, Fatuma Ali.





Hivyo makala WAZIRI JAFO KUONGOZA UZINDUZI JUKWAA LA WAKULIMA,KUKABIDHI HATI ZA ARDHI ZA KIMILA WILAYANI KISARAWE`

yaani makala yote WAZIRI JAFO KUONGOZA UZINDUZI JUKWAA LA WAKULIMA,KUKABIDHI HATI ZA ARDHI ZA KIMILA WILAYANI KISARAWE` Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO KUONGOZA UZINDUZI JUKWAA LA WAKULIMA,KUKABIDHI HATI ZA ARDHI ZA KIMILA WILAYANI KISARAWE` mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/waziri-jafo-kuongoza-uzinduzi-jukwaa-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI JAFO KUONGOZA UZINDUZI JUKWAA LA WAKULIMA,KUKABIDHI HATI ZA ARDHI ZA KIMILA WILAYANI KISARAWE`"

Post a Comment

Loading...