Loading...
title : MBUNGE WA SIMANJIRO AIMWAGIA SIFA UJAMAA COMMUNITY RESOURCE TEAM(UCRT)
link : MBUNGE WA SIMANJIRO AIMWAGIA SIFA UJAMAA COMMUNITY RESOURCE TEAM(UCRT)
MBUNGE WA SIMANJIRO AIMWAGIA SIFA UJAMAA COMMUNITY RESOURCE TEAM(UCRT)
Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoa wa Manyara,James Ole Millya akizungumza kwenye mkutano wa kukabidhi Hati za Kimila kwaajili ya malisho ya mifugo katika kijiji cha Lerumo Kata ya Ruvuremit.
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania Chaula(katikati) akifatilia mazungumzo ya mbunge wa jimbo hilo,James Ole Millya(kushoto) na Katibu Tawala wa wilaya ya Simanjiro,Zuwena Omary .
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania Chaula(kushoto) akipokea zawadi ya Ndama kutoka kwa wananchi wa Kijiji cha Lerumo.
Mbunge wa jimbo la Simanjiro,James Ole Millya (katikati) akipokea zawadi ya Ndama kutoka kwa wananchi wa Kijiji cha Lerumo.
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania Chaula(kushoto) akifurahia zawadi ya fimbo aliyokabidhiwa na wananchi wa Kijiji cha Lerumo Kata ya Ruvuremit baada ya kukabidhi Hati za Kimila kwa vijiji Sita.
Hivyo makala MBUNGE WA SIMANJIRO AIMWAGIA SIFA UJAMAA COMMUNITY RESOURCE TEAM(UCRT)
yaani makala yote MBUNGE WA SIMANJIRO AIMWAGIA SIFA UJAMAA COMMUNITY RESOURCE TEAM(UCRT) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA SIMANJIRO AIMWAGIA SIFA UJAMAA COMMUNITY RESOURCE TEAM(UCRT) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mbunge-wa-simanjiro-aimwagia-sifa.html
0 Response to "MBUNGE WA SIMANJIRO AIMWAGIA SIFA UJAMAA COMMUNITY RESOURCE TEAM(UCRT)"
Post a Comment