Loading...

WAZIRI MBALAWA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI BAGAMOYO

Loading...
WAZIRI MBALAWA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI BAGAMOYO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MBALAWA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI BAGAMOYO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MBALAWA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI BAGAMOYO
link : WAZIRI MBALAWA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI BAGAMOYO

soma pia


WAZIRI MBALAWA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI BAGAMOYO

Na  Karama Kenyunko Globu ya jamii.
SERIKALI  imesema hivi karibuni itahakikisha inamaliza kabisa tatizo kubwa la ukosefu wa maji katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani linatokana na ukosefu wa miundombinuz ya usambazaji.'
'
Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amesema hayo leo Desemba 18.2018 alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya maji Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Waziri Mbarawa pia amewahakikishia wakazi wa Kiembeni, Kata ya Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani kuwa watapelekewa majisafi na salama na mpaka sasa tayari mradi utakaogharimu Sh. Bilioni 116 uko tayari na umeanza katika eneo hilo.

amesema, katika kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama kwasasa uzalishaji wa maji kwa Mkoa wa Dar es Salaam umefikia lita bilioni 14 kwa mwezi.

Amesema kufuatia tatizo hilo la usambazaji ndio maana serikali kupitia mradi wake wa tanki la bagamoyo ulioanza mwaka jana iliamua kujenga tanki la maji la lita Bil. 6 ambalo litasaidia katika usambazaji kwa maeneo yote ya Bagamoyo na vitongoji vyake  ambao unatarajia kumalizika mwishoni mwa mwezi huu.

Waziri Mbarawa ameongeza kuwa, kwa siku jiji la Dar es Salaam lina uwezo wa kuzalisha lita milioni 502 za maji na mahitaji kwa mwezi ni lita bilioni 14, lakini changamoto ni usambazaji.
Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akipata maelezo juu mradi mkubwa wa maji wa ujenzi wa Tanki ambao utakapoisha utamaliza kero zote za maji Katika Wilaya ya Bagamoyo mjini na vitongoji vyake, wakati wa Wizara ya kukagua miradi ya maji Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani iliyofanyika leo Desemba 18.2018 mradi huo ulioanza mwanzoni mwa mwaka jana unatarajiwa kumalizika mwaka huu mwishoni. 


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAZIRI MBALAWA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI BAGAMOYO

yaani makala yote WAZIRI MBALAWA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI BAGAMOYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MBALAWA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI BAGAMOYO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/waziri-mbalawa-akagua-miradi-ya-maji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MBALAWA AKAGUA MIRADI YA MAJI WILAYANI BAGAMOYO"

Post a Comment

Loading...