Loading...

BENKI YA CBA NA VODACOM WAKABIDHI ZAWADI ZA BAJAJI 5 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA M- PAWA

Loading...
BENKI YA CBA NA VODACOM WAKABIDHI ZAWADI ZA BAJAJI 5 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA M- PAWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CBA NA VODACOM WAKABIDHI ZAWADI ZA BAJAJI 5 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA M- PAWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CBA NA VODACOM WAKABIDHI ZAWADI ZA BAJAJI 5 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA M- PAWA
link : BENKI YA CBA NA VODACOM WAKABIDHI ZAWADI ZA BAJAJI 5 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA M- PAWA

soma pia


BENKI YA CBA NA VODACOM WAKABIDHI ZAWADI ZA BAJAJI 5 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA M- PAWA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
BENKI ya CBA kwa kushirikiana kampuni ya simu ya Vodacom wamekabidhi zawadi kwa washindi wake wa promosheni ya shinda na M- pawa katika tawi la benki ya CBA kijitonyama jijini Dar es salaam, na hiyo ikiwa ni baada ya kudumu kwa promosheni hiyo kwa muda wa wiki 6.

Akizungumza katika makabidhiano hayo mwakilishi wa Mkurugenzi wa benki ya CBA Julius Konyani amesema kuwa  promosheni hiyo ililenga kuwafikia wananchi wasiofikiwa na huduma  za kibenki na kuwawekea mazingira ya kujiwekea akiba huku ikiwapa changamoto ya kurudisha mikopo yao kwa wakati pindi wanapochukua mikopo.

Konyani amesema kuwa; "Mikopo yetu ina riba ndogo sana kwani lengo la  kufanya promesheni hii  hasa ilikua ni kuwawezesha kiuchumi wateja wetu, pia promosheni hii ilikua na lengo la kutoa shukrani na kuwazawadia wateja  wetu katika msimu huu wa sikukuu na tumefurahi washindi wetu wamekuwa ishara ya mafanikio yetu katika lengo hili" Ameeleza Konyani.

Aidha amesema kuwa benki ya CBA kwa kushirikiana na Vodacom wataendelea kutoa na kuboresha huduma ya M-pawa na kuwafikia watanzania wengi zaidi wakiwemo wakulima na wajasiriamali ambao watapewa mikopo midogo hadi ya shilingi laki tano ili kuweza kuwapa nguvu katika shughuli zao za kiuchumi wanazozifanya.
Washindi wa bajaji kupitia promosheni ya shinda na M -pawa wakiwa pamoja na baadhi ya viongozi kutoka benki ya CBA na Kampuni ya simu ya Vodacom.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa benki ya CBA Julius Konyani (kushoto)akimkabidhi kadi ya bajaji bi. Mariam Barawa mmoja kati ya washindi watano waliojishindia bajaji hizo kupitia promosheni ya shinda na M- Pawa,  jijini Dar es salaam. Kulia ni meneja masoko wa huduma za kifedha kutoka kampuni ya Vodacom Noel Mazoya. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala BENKI YA CBA NA VODACOM WAKABIDHI ZAWADI ZA BAJAJI 5 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA M- PAWA

yaani makala yote BENKI YA CBA NA VODACOM WAKABIDHI ZAWADI ZA BAJAJI 5 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA M- PAWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CBA NA VODACOM WAKABIDHI ZAWADI ZA BAJAJI 5 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA M- PAWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/benki-ya-cba-na-vodacom-wakabidhi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA CBA NA VODACOM WAKABIDHI ZAWADI ZA BAJAJI 5 KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA SHINDA NA M- PAWA"

Post a Comment

Loading...