Loading...

WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO

Loading...
WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO
link : WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO

soma pia


WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewatoa hofu wananchi hususan wakulima wa korosho nchini baada ya kuwahakikishia kuwa korosho zao zote zitanunuliwa. Amesema Serikali kupitia Bodi ya Mazo Mchanganyiko itanunua korosho zote na hakuna korosho za wakulima nchini ambazo zitabaki bila ya kununuliwa.

Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Desemba 7, 2018) alipozungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha korosho cha Terra akiwa njiani kwenda Dodoma. Waziri Mkuu amesema bodi hiyo inaendelea kufanya thamini na kujiridhisha kama kweli korosho hizo zimezalishwa nchini na kuangalia viwango vya ubora.

Amesema baada ya kujiridhisha kuhusu viwango vya ubora na mkulima aliyepeleka ndiye mwenyewe ndipo taratibu za malipo hufanyika. Waziri Mkuu amesema Serikali iliamua kununua korosho baada ya wafanyabiashara kutaka kuzinunua kwa bei ya chini ambayo haikuwa na tija.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipotembelea kiwanda cha korosho cha Terra Cashew cha Kibaha kwa Mathias, Desemba 7, 2018.
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evaresti Ndikilo akizungumza  kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  ili azungumze  wakati Waziri Mkuu alipotembelea kiwanda cha korosho cha Terra Cashew cha Kibaha kwa Mathias, Desemba 7, 2018.
Wafanyakazi wa kiwanda cha korosho cha Terra Cashew cha Kibaha kwa Mathias wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kutembelea kiwanda hicho, Desemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Meneja Uzalishaji wa Kiwanda cha Korosho cha Terra Cashew, Leonardo Denti  (wapili kulia) wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Kibaha kwa Mathias, Desemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO

yaani makala yote WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/waziri-mkuu-awatoa-hofu-wakulima-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MKUU AWATOA HOFU WAKULIMA WA KOROSHO"

Post a Comment

Loading...