Loading...
title : HOJA ZA KAMATI ZA BUNGE ZA PAC NA NUU, ZAJADILIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
link : HOJA ZA KAMATI ZA BUNGE ZA PAC NA NUU, ZAJADILIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
HOJA ZA KAMATI ZA BUNGE ZA PAC NA NUU, ZAJADILIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia) akiongoza kikao cha Watendaji Wakuu wa Wizara yake, cha kujadili hoja zilizotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), katika Ukumbi wa Mikutano wa ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto) akitaka ufafanuzi kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Magereza, (CGP), Phaustine Kasike, katika kikao cha Watendaji Wakuu wa Wizara yake, cha kujadili hoja zilizotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), katika Ukumbi wa Mikutano wa ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (katikati) akiongoza kikao cha Watendaji Wakuu wa Wizara yake, cha kujadili hoja zilizotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), katika Ukumbi wa Mikutano wa ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi.
Hivyo makala HOJA ZA KAMATI ZA BUNGE ZA PAC NA NUU, ZAJADILIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote HOJA ZA KAMATI ZA BUNGE ZA PAC NA NUU, ZAJADILIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HOJA ZA KAMATI ZA BUNGE ZA PAC NA NUU, ZAJADILIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/hoja-za-kamati-za-bunge-za-pac-na-nuu.html
0 Response to "HOJA ZA KAMATI ZA BUNGE ZA PAC NA NUU, ZAJADILIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment